unalinganisha mkoloni mwingereza na hawa nyani?Mkoloni wetu muingereza katiba yake ina miaka 120+ na sisi katiba yetu hii tunataka ifike miaka 150,chadomo nyie fanyeni ugaidi tu[emoji23][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unalinganisha mkoloni mwingereza na hawa nyani?Mkoloni wetu muingereza katiba yake ina miaka 120+ na sisi katiba yetu hii tunataka ifike miaka 150,chadomo nyie fanyeni ugaidi tu[emoji23][emoji1787]
watacheza mwisho watakwama tu.Hakuna wa kuuzima kwa sasa hapa Tanzania
Kwani umezuiliwa kumuunga mkono wewe?Hivi wale mnaopingana na mawazo ya mwanzisha uzi tuwaeleweje?
Kwani anapinga dai la katiba?
Si ametoa na kwanini katiba mpya ni hitaji.
Wazo lake ni nani na kwanini anaipambania. Amesema WANASIASA basi.
Sasa hivi wapo kama farasi anayekata roho hivyo hatutakiwi kuyaogopa mateke yake.watacheza mwisho watakwama tu.
Wewe ni nyani?[emoji529][emoji529]unalinganisha mkoloni mwingereza na hawa nyani?
Hii sio debate.Kwani umezuiliwa kumuunga mkono wewe?
Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya uraia.
Bahati mbaya ni kwamba wapigania katiba wa sasa wanataka katiba iwasaidie kwenye mapambano ya kisiasa, ndio maana hii ajenda ni ngumu sana.
Mwambie shangazi yako na wajomba zako kuwa kwa sasa watanzania wameshatoka kwenye zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama.
Ya kwetu Ina kidhi yote hayo na ndio maana hatuna mpango na kitu mnachoita katiba mpya
Mwingereza hana katiba ya kubambikia watu kesi za kipuuzi, wizi wa kura au polisi kuzuia mikutano ya watu, ya mwingereza acha idumu ila hii ya CCM mpaka kieleweke na itabadilishwa tuuMkoloni wetu muingereza katiba yake ina miaka 120+ na sisi katiba yetu hii tunataka ifike miaka 150,chadomo nyie fanyeni ugaidi tu[emoji23][emoji1787]
Huu nao ni uzi????[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya uraia.
Bahati mbaya ni kwamba wapigania katiba wa sasa wanataka katiba iwasaidie kwenye mapambano ya kisiasa, ndio maana hii ajenda ni ngumu sana.
Wazungu wanaweza kufanya prediction ya Miaka 100 mbele,,ccm hata mwaka mmoja mbele hawawezi kupangaInaweza ikawa na miaka hata 500 but inakidhi mahitaji ya msingi kwa kiasi gani kwa mfano haki,utu ,uwajibikaji na mamlaka...wenzetu haya mambo waliyaona mapema sana na ndio maana tawala zao zinaheshimu katiba kwa sababu mamlaka yao yana mipaka stahiki
Hizi ni ngonjera na blah blah blah za waropokaji na wapayukaji wenyewe wanajiita wapinzani [emoji23][emoji1787]Mwingereza hana katiba ya kubambikia watu kesi za kipuuzi, wizi wa kura au polisi kuzuia mikutano ya watu, ya mwingereza acha idumu ila hii ya CCM mpaka kieleweke na itabadilishwa tuu
Bila kuiba kura leo kusingekuwa na CCM au wajinga wa Taifa kama weweHizi ni ngonjera na blah blah blah za waropokaji na wapayukaji wenyewe wanajiita wapinzani [emoji23][emoji1787]
Mchumia tumbo huyoHamna Mpango Nyie Na Nani Sema Wewe Hauna Mpango
Huu ni muendeleza wa ngonjera za losersBila kuiba kura leo kusingekuwa na CCM au wajinga wa Taifa kama wewe
kwani katiba hiyo mpya itatokana na vikao vya wanasiasa au itatokana na maoni ya wananchi kwa ujumla??Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya uraia.
Bahati mbaya ni kwamba wapigania katiba wa sasa wanataka katiba iwasaidie kwenye mapambano ya kisiasa, ndio maana hii ajenda ni ngumu sana.
Hivyo vikao vitakaliwa lini ataitisha nani na wapi!?kwani katiba hiyo mpya itatokana na vikao vya wanasiasa au itatokana na maoni ya wananchi kwa ujumla??
Hivyo vikao vitakaliwa lini ataitisha nani na wapi!?kwani katiba hiyo mpya itatokana na vikao vya wanasiasa au itatokana na maoni ya wananchi kwa ujumla??
Haya matusi yamaanisha hata nilichoandika hujaelewaKumbe binadamu unaweza kutembea na fikra zilizokufa?