Mnaotaka kuingia USA pitieni BAHAMAS ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ธ

Hilo halituzuii sisi kusema ukweli pale tunapoona mtu kapotosha jambo, suala la wewe kutumia au kutotumia hizo njia za magumashi halituhusu hilo ni juu yako, sisi hapa tunaandika uhalisia tunaoufahamu tu anayetaka auchukue asiyetaka auache
 
Hilo halituzuii sisi kusema ukweli pale tunapoona mtu kapotosha jambo, suala la wewe kutumia au kutotumia hizo njia za magumashi halituhusu hilo ni juu yako, sisi hapa tunaandika uhalisia tunaoufahamu tu anayetaka auchukue asiyetaka auache
Fungua uzi wako uandike huo uhalisia. Hata mtoa mada mwanzoni alisisitiza walengwa ni mabaharia na wazamiaji wenye uthubutu wa kujitosa bila kujiuliza uliza. Kwa kifupi huu ni uzi kwa ajiri ya watafutaji wagumu sio watoto wa mchele mchele kama wewe.
 
Fungua uzi wako uandike huo uhalisia. Hata mtoa mada mwanzoni alisisitiza walengwa ni mabaharia na wazamiaji wenye uthubutu wa kujitosa bila kujiuliza uliza. Kwa kifupi huu ni uzi kwa ajiri ya watafutaji wagumu sio watoto wa mchele mchele kama wewe.
Wewe ni nani wa kunipangia namna ya kutoa mawazo yangu humu jf, ningekuwa nimeandika hoja isiyohusiana na mada hapo ndio ungekuwa na sababu ya kuniambia nianzishe uzi lakini nilichoandika kinahusiana na mada, kijana watafutaji wagumu unawajua wewe ungekuwa mtafutaji mgumu usingekuwa unadangia mijimama ili upate pesa tafuta pesa kwanza ndio uwaze habari za kuzamia marekani
 
Sio majimama tu hata wewe ukinipa jicho naku-p.didy vzr tu ilimradi pesa yangu iwepo. We endelea kufuata utaratibu rasmi kwenye kila kitu lakini pale unapoona wanaume wanajadili mambo makubwa zaidi ya kikomo cha uthubutu wako basi tuliza mshono
 
Sio majimama tu hata wewe ukinipa jicho naku-p.didy vzr tu ilimradi pesa yangu iwepo. We endelea kufuata utaratibu rasmi kwenye kila kitu lakini pale unapoona wanaume wanajadili mambo makubwa zaidi ya kikomo cha uthubutu wako basi tuliza mshono
Kijana inaonekana unapenda sana kufanyiwa hiyo michezo kiasi kwamba unahisi kila mtu anaifanya kama wewe, kwahiyo hapo ulipo unaona kuzamia marekani kwa njia za panya ni jambo kubwa na la uthubutu sana wakati hapo ulipo usikute hata SA tu hapo hujawahi fika na hata passport yenyewe tu usikute huna, halafu unataka watu wakupe michongo ya kuzamia US sasa mtu kama wewe hata ukipewa hizo njia utafanya nini wakati kutafuta pesa hapa kwenu tu kumekushinda unategemea za kuhongwa huko kwenye nchi za watu ndio unadhani utatoboa..pathetic!!
 
Mkuu tupe uzoefu wako. Mimi nina mpango wa kuingia USA nipo kwenye mchakato wa kujikusanya financialy
Jitaidi ukienda uende kihalali na siku hizi wakitoa visa inakaa mwaka mzima ,Dunia ya Leo haiitaji kuzamia kienyeji watu washatoka huko ,pambana uende kihalali ndo uta enjoy
 
Wastage of time kabisa.
 
Mimi naomba nitoke nje ya mada. Kiukweli US sijui naonaje aisee. Mtu akinambia kwenda kuishi huko naona ni kama simba aambiwe atoke Serengeti aende kukaa Zoo ya wanyama.
 
Tuliza mshono kijana
 
Watanzania wanafaa kupewa ushauri na watu kama kina chief Godlove, chimakeke au jamaa mmoja anajiita Elly David yupo Canada.

Mtanzania ukimpa ushauri kwa upole anakuchukulia poa.

Mwafrika hasa mtanzania inabidi umpe ushauri huku ukimsindikiza kwa lugha kali kama kina chief Godlove anavyosemaga,

Watu maskini watoke magetoni wakajitafute maana wao ni maskini mbwa takataka.
 
Yes mkuu. Kote kihalali na kibishi tunajaribu njia itakayokubali inshallah

Tuliza mshono kijana
Sasa kwingine unakubali halafu ukija kwangu unajifanya mbishi wakati nilichokiandika ni kile kile alichoandika huyo jamaa uliyemjibu, ukweli ndio huo dunia ya leo watu washatoka huko kwenye kuzamia kienyeji kama wewe mwanaume kweli pambana uende pale ubalozini ukawa face consular officers upewe visa kihalali siyo eti una force kuzamia kibishi huo ni uoga wa maisha, we unadhani kupass interview pale ubalozini ni rahisi yani mtu unataka uingie kwenye Nchi za watu kama unaenda kijijini kwenu huko Tarime we ulisikia wapi hebu tafuta pesa mzee achana na hizo ndoto zako za kidwanzi
 
Asee nilidhani ni mimi peke yangu ndio namkubali yule jamaa Chief Godlove kumbe tuko wengi, tuko pamoja mkuu wabongo wanahitaji watu kama hao ili akili ziwakae sawa maana wakishauriwa na watu kama sisi wanadai eti sisi mchele mchele watoto wa mama hatujui ugumu wa maisha, yani mtu unamuambia ukweli anakuletea makasiriko na stress zake za kimasikini badala ya kupambana na uhalisia
 
Kwahiyo anakula maisha new york au sio???ndio alivyowadanganya?
 
Kama haina mwenyewe kwanini wanaingia kwa magendo,?si waende tu
 
Kwa nini wa-Tanzania wengi sana wanapenda kuwa na akili na fikra potofu za kupenda kwenda kwenye nchi za watu bila ya kufuata utaratibu rasmi wa uhamiaji??? Kwa nini msiwe mtafanya maandalizi ya kutosha kabla ya kuamua kuhama nchi yako na kwenda kuishi maisha ktk nchi za ugenini? Kwa nini msitafute Visa halali ili kujihakikishia maisha ya amani na utulivu ukiwa huko ugenini nje ya nchi yako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ