Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss,hakuna ktk post ya jamaa kauli inayoonyesha kutaka kuharibu biashara ya mtu hii ameitoa kama tahadhari tu na ni vitu hata mamlaka za kiserikali zinafanya mitandao ya simu inafanya hata bank zinafanya.Hapo haiwezekani au maelezo yako hayajatosheleza. Naongea kama agent mzoefu.
Inawezekana
Kama mtoa fedha aliweka namba za Siri mara mbili kitu ambacho hujaeleza. Au tuseme mtoa huduma aliweza kunakiri namba za mteja kama alimtajia kitu ambacho hukusema.
Haiwezekani
Kwa sababu Kila unapotaka kommand ya kutoa pesa ni lazima uweke namba ya siri ya mteja.
Nini kilitokea?
Huyo mtoa huduma si mzoefu wa matumizi ya hiyo mashine, miamala miwili tofauti haiwezi kuwa na muda unaofanana ya 10:10:23, never ni lazima ipishane muda, kitendo Cha kuurudia muamala kinachukua dakika mzima mpaka kukamilika. Haujatupatia taarifa kama jamaa yako hakutafutwa tena na huyo mdada. Kingine usipende kuharibu biashara za watu kwa kisa kimoja, hata kwa ATM kadi zinamezwa na kuna kipindi mtu hajapata huduma ya kutoa pesa lakini ATM inaonyesha umetoa japo ni rare cases.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Nami niliwapigia CRDB wakaniambia ilikuwa mtandaoInawezekana ikawa shida ya mtandao maaana kuna siku message ya kutoa hela ila ilikuwa hela za kwenye simu ilionesha nimetoa hela na message zikaja mbili na zinafanana kila kitu.
Ila aende benki yeyote iliyo karibu yake kwa maelezo zaidi na achukue bank statement inaonesha transaction zote na mawakala wote wanakuwa wamesajiliwa na wanatambulika kisheria.
hapa umeongea la maana. sasa niambie USALAMA wa hii app ya NMB kwenye play store, maana wajanja wasije weka ya kwao tukajisajili humo (maana huwa tunatakiwa kuweka namba ya ac na namba ya Siri). tujuze hapa mkuuHapo haiwezekani au maelezo yako hayajatosheleza. Naongea kama agent mzoefu.
Inawezekana
Kama mtoa fedha aliweka namba za Siri mara mbili kitu ambacho hujaeleza. Au tuseme mtoa huduma aliweza kunakiri namba za mteja kama alimtajia kitu ambacho hukusema.
Haiwezekani
Kwa sababu Kila unapotaka kommand ya kutoa pesa ni lazima uweke namba ya siri ya mteja.
Nini kilitokea?
Huyo mtoa huduma si mzoefu wa matumizi ya hiyo mashine, miamala miwili tofauti haiwezi kuwa na muda unaofanana ya 10:10:23, never ni lazima ipishane muda, kitendo Cha kuurudia muamala kinachukua dakika mzima mpaka kukamilika. Haujatupatia taarifa kama jamaa yako hakutafutwa tena na huyo mdada. Kingine usipende kuharibu biashara za watu kwa kisa kimoja, hata kwa ATM kadi zinamezwa na kuna kipindi mtu hajapata huduma ya kutoa pesa lakini ATM inaonyesha umetoa japo ni rare cases.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Nami napata shida hapa!! How!?Nimesoma nimeelewa,lakin najaribu kutafakari ujanja uliotumika kutoa miamala 2 ndiyo nashindwa kuelewa. Why?
Wakala anakuomba Kadi,Kisha ana swap na ku insert,wewe ndiye unayeweka namba ya Siri ya Kadi na kutaja kiwango unachotaka kutoa. Machine ipo programmed, mfumo wa benki upo programmed. Nini kinafanyika kufanya double withdrawal ? Japokuwa kupata double alert messages huwa inatokea pia. Tusaidiane hapo
Mi natoaga pesa ya bia tu kaka.Kwa mtu anayefanya biashara zisizokuwa na muda maalumu ukimwambia habari za ATM hawezi kukuelewa maana ATM haiwezi kukupa zaidi ya 1mill.(nazungumzia NMB though sijauliza karibuni kama utaratibu huo ulibadilishwa ama lah)
Hakuna njia za ku-counter check baada ya kuweka account namba na neno la siri?hapa umeongea la maana. sasa niambie USALAMA wa hii app ya NMB kwenye play store, maana wajanja wasije weka ya kwao tukajisajili humo (maana huwa tunatakiwa kuweka namba ya ac na namba ya Siri). tujuze hapa mkuu
Hapo haiwezekani au maelezo yako hayajatosheleza. Naongea kama agent mzoefu.
Inawezekana
Kama mtoa fedha aliweka namba za Siri mara mbili kitu ambacho hujaeleza. Au tuseme mtoa huduma aliweza kunakiri namba za mteja kama alimtajia kitu ambacho hukusema.
Haiwezekani
Kwa sababu Kila unapotaka kommand ya kutoa pesa ni lazima uweke namba ya siri ya mteja.
Nini kilitokea?
Huyo mtoa huduma si mzoefu wa matumizi ya hiyo mashine, miamala miwili tofauti haiwezi kuwa na muda unaofanana ya 10:10:23, never ni lazima ipishane muda, kitendo Cha kuurudia muamala kinachukua dakika mzima mpaka kukamilika. Haujatupatia taarifa kama jamaa yako hakutafutwa tena na huyo mdada. Kingine usipende kuharibu biashara za watu kwa kisa kimoja, hata kwa ATM kadi zinamezwa na kuna kipindi mtu hajapata huduma ya kutoa pesa lakini ATM inaonyesha umetoa japo ni rare cases.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile
Mtoa fedha ameweka password mara moja tuu kiongoz ! Nafikir huenda hizi machine za nmb wakala kuna wajanja wanazichezea.Hapo haiwezekani au maelezo yako hayajatosheleza. Naongea kama agent mzoefu.
Inawezekana
Kama mtoa fedha aliweka namba za Siri mara mbili kitu ambacho hujaeleza. Au tuseme mtoa huduma aliweza kunakiri namba za mteja kama alimtajia kitu ambacho hukusema.
Haiwezekani
Kwa sababu Kila unapotaka kommand ya kutoa pesa ni lazima uweke namba ya siri ya mteja.
Nini kilitokea?
Huyo mtoa huduma si mzoefu wa matumizi ya hiyo mashine, miamala miwili tofauti haiwezi kuwa na muda unaofanana ya 10:10:23, never ni lazima ipishane muda, kitendo Cha kuurudia muamala kinachukua dakika mzima mpaka kukamilika. Haujatupatia taarifa kama jamaa yako hakutafutwa tena na huyo mdada. Kingine usipende kuharibu biashara za watu kwa kisa kimoja, hata kwa ATM kadi zinamezwa na kuna kipindi mtu hajapata huduma ya kutoa pesa lakini ATM inaonyesha umetoa japo ni rare cases.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mawakala mnaiba bhanaHapo haiwezekani au maelezo yako hayajatosheleza. Naongea kama agent mzoefu.
Inawezekana
Kama mtoa fedha aliweka namba za Siri mara mbili kitu ambacho hujaeleza. Au tuseme mtoa huduma aliweza kunakiri namba za mteja kama alimtajia kitu ambacho hukusema.
Haiwezekani
Kwa sababu Kila unapotaka kommand ya kutoa pesa ni lazima uweke namba ya siri ya mteja.
Nini kilitokea?
Huyo mtoa huduma si mzoefu wa matumizi ya hiyo mashine, miamala miwili tofauti haiwezi kuwa na muda unaofanana ya 10:10:23, never ni lazima ipishane muda, kitendo Cha kuurudia muamala kinachukua dakika mzima mpaka kukamilika. Haujatupatia taarifa kama jamaa yako hakutafutwa tena na huyo mdada. Kingine usipende kuharibu biashara za watu kwa kisa kimoja, hata kwa ATM kadi zinamezwa na kuna kipindi mtu hajapata huduma ya kutoa pesa lakini ATM inaonyesha umetoa japo ni rare cases.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
nili install hiyo app, kwanza haikukubali, mara mbili, tatu nikaachana nayo. lakini ikawa imeshanidai acc no. na pin na namba ya simuHakuna njia za ku-counter check baada ya kuweka account namba na neno la siri?
Duh !NMB kwa ujumla ni benki yenye mifumo mibaya na rahisi kuingiliwa na wahuni.
Inasemekana control room ya mifumo yake ipo South Africa.
Kuna lile tawi la Kisarawe ni hovyo sana. Madirisha yapo sita ila moja wapo pekee ndilo linafanya kazi.
Hii benki sijui ilishindaje tuzo ya mwajiri bora wakati wana huduma mbovu.
Historia inaonyesha kwamba NMB ni benki inayoongoza kwa kupigwa fedha nyingi hapa nchini kupitia uporaji.
Kuna uporaji mkubwa umewahi kutokea matawi ya Ubungo, Temeke na Moshi, achilia mbali udukuzi mdogo na mkubwa ukiwemo huu wa mawakala wao.