Mnaotoa fedha kupitia NMB wakala kuweni makini

Haitakiwi iwe hivyo sasa. Hawa wote uliowasema ni watoa huduma ambao wanatakiwa kuwalinda wateja, hata wateja wawe mazuzu kiasi gani na siyo kuwaibia.
Upo sahihi mkuu....lakini kuna kitu mwanadamu ameumbiwa tamaa,wachache sana wenye kuweza kuishinda hii hali..

Ndo mana kwenye hzi account zetu za pesa tumewekewa password na ni kosa kushare password....pia kwenye madirisha ya bank/sehemu za kutolea fedha wameandika hesabu pesa zako kabla hujampa kisogo counter...
 
Cha kwanza ungemuuliza jamaa yako ameweka password mara ngapi!?kama aliweka mara naweza kubaliana na wewe na hili hutokea kutokana na shida ya network lkn kama aliweka password mara moja hii story ni CHAI.
 
Imenifikirisha sana! Yaani wakala aingize details, atoe risiti halafu hapo hapo aingize mualama mwingine? Inawezekanaje hiyo?
 
Cha kwanza ungemuuliza jamaa yako ameweka password mara ngapi!?kama aliweka mara naweza kubaliana na wewe na hili hutokea kutokana na shida ya network lkn kama aliweka password mara moja hii story ni CHAI.
Jamaa aliweka password mara moja tuu.
 
Cha kwanza ungemuuliza jamaa yako ameweka password mara ngapi!?kama aliweka mara naweza kubaliana na wewe na hili hutokea kutokana na shida ya network lkn kama aliweka password mara moja hii story ni CHAI.
Jamaa aliweka password mara moja tuu
 
Lengo la uzi huu sio kushutumu mawakala wa bank, lengo la uzi huu ni kutoa tuu elimu kwa wadau kuwa makin unapoenda kutoa fedha kupitia mawakala wa bank. Mm nimetoa tahadhari tuu kwenu, ukienda kutoa fedha kwa wakala wa bank bas kuwa makin na hakikisha unachek balance yako faster. Lakin pia sio mawakala wote wanafanya hizi tabia nadhan wapo wachache wenye tabia hizi. Kama mlisoma maelezo vizur hii sehem kuna mabasi ya mikoan huwa yanapaki kwa ajlil ya abiriia kupata chakula. Sasa mfano abiria ameshuka hapo akaona ngoja nitoe fedha kidogo hapa na yeye anenda zake mwanza ( mfano) inakuwaje?
 
Ishanitokea hii, huduma inasoma nmetoa hela ATM na hela haiktoka
 
Mkuu unamaanisha Benki siyo salama kuhifadhi Pesa?
 
mkuu umefikia hitimisho haraka sana.

kwa case tu ya muda wa miamala kuwa ni mmoja ni dhahiri hilo ni tatzo la kimfumo.

huduma ambayo sidhauri mtu aifanye kupitia nmb ni kutoa pesa kwa kutumia pesa fast,ile haikawiii kukulaza kwa chai na nyanya ndugu.
 
Mimi ni wakala naunga mkono hoja yako ishatokea kwa wateja kibaoo.anaingiza kadi mara ya kwanza inamkatalia anaingiza mara ya pili inakubali ....mtandao ukikaa vzr zote zinatoka ...msiwalaumu mawakala ni mtandao wenyewe wa bank wakala hawezi kupa pesa ambayo haijatoka risiti yake..so hata wakala mwenyewe anakuwa hajuai kama umetoa mara mbili..yeye atakuja kuona usiku wakati akifunga mahesabu yake kwamba mtaji wake ni zaidi ya alicho weka.
 
Matawi mengi tellers ukikuta wengi watatu
 
unakili sana ndugu hongera sana
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Sawa
 
Mkuu shukrani sana kwa kutukumbusha kuwa makini, Lakini kuweka neno NMB hapo ni kama unawakosea ,coz hapo Mwizi ni huyo mtoa huduma ,ila hiyo NMB inaweza ikaleta tahatuki na kuwaharibia wao kibiashara,

Instead ya kusema NMb wakala ungesema Wakala bado ungeeleweka vizuri
 
Humu wengi Hili haliwahusu, hua wanakomba Yote ikiingia, account zao mda mwingi ukicheki salio halisi ni Negative.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu mimi ni moja ya watu ambao account yangu hela ikiingia inahama nzima nzima sasa hao mawakala kwangu watasubiri sana
 
Mimi tangu mwaka 2017 sijawahi kutoa fedha kwa wakala. Kwa wakala naenda kuweka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…