Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Posho ya kikao cha robo saa kupitisha bajeti ya kushiriki.Mkuu kulipwa 400k kwa siku haina maana usiulize bei unaibiwa bana.😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Posho ya kikao cha robo saa kupitisha bajeti ya kushiriki.Mkuu kulipwa 400k kwa siku haina maana usiulize bei unaibiwa bana.😁😁😁
Watanzania tuna tatizo la exposure. Watu wengi wanadhani maisha wanayoishi Tanzania ndiyo yalivyo dunia nzima. Ulaya simu kama Iphone ni kitu affordable kwa kila mtu na wala ukiwa nayo hakuna anayekuangalia mara mbili eti una simu nzuri au ya bei. Sasa unakuta wenzako huku kwa kina kamchape ambako watu wanaishi kwa show off na kununua iphone ni mpaka mtu utambike, wanadhani dunia yote iko hivyo.kama huna fedha wewe songa mbele wenzako watanunua.
Jf bhanaUpeo wa macho yako umefika hapo. Maskini anawaza kutokana na umaskini wake na tajiri the same.
Mimi nakunywa Cappucino kila siku hapa Masaki Koffe Kafe, kikombe Kimoja ni Tshs 12,000 bila hata kipande cha cake.
Mwenye mawazo ya kimaskini anakwambia hiyo hela unakunywa kawaha mwezi mzima sehemu za uswahilini, kupanga ni kuchagua. Kwa siku nikikaa kikao cha kawaida posho ni Tsh 400,000/- , kunywa elfu 50,000 kwa siku ni ndogo sana.
JAMIIFORUMS HAKUNAGA MASIKINI, KILA MTU NI TAJIRI BAC KWA TAARIFA YAKO.Upeo wa macho yako umefika hapo. Maskini anawaza kutokana na umaskini wake na tajiri the same.
Mimi nakunywa Cappucino kila siku hapa Masaki Koffe Kafe, kikombe Kimoja ni Tshs 12,000 bila hata kipande cha cake.
Mwenye mawazo ya kimaskini anakwambia hiyo hela unakunywa kawaha mwezi mzima sehemu za uswahilini, kupanga ni kuchagua. Kwa siku nikikaa kikao cha kawaida posho ni Tsh 400,000/- , kunywa elfu 50,000 kwa siku ni ndogo sana.
Broo you cooked him 😂 😂 😂Watumia iPhone acheni kujibeza na kudanganya.
Kwanza panaitwa Kaffé Koffee sio "Koffe Kafe" ulichoandika wewe.
Pili, Cappuccino kikombe kimoja sio elfu 12, ni elfu 6 tu. Menu hii hapa na attach:
View attachment 3002063
Turudi kwenye mada kuu ya Apple.
Kuna ile hadithi 'sungura alipozikosa zabibu alisema sizitaki mbichi hizi'. Ndiyo hao wanaopiga kelele na iphone.Mkuu mbona wananchi wa Dunia ya kwanza wanapenda kuzitumia mfano wazungu simu zao ni iPhone tu.
😂 😂 😂Kuna ile hadithi 'sungura alipozikosa zabibu alisema sizitaki mbichi hizi'. Ndiyo hao wanaopiga kelele na iphone.
Rafiki yako alinunua simu mbovu sio kwa iPhone store maana hakuna wakala wa hiyo simu Tanzania...mtu ananunua simu ya Dubai au Hong Kong harafu unakuja na majibu ya jumla mimi natumia Sumsung na iPhone ambayo nimenunua iPhone store zinakuwa na warranty ya muda mrefu na ukitaka ku upragrade toleo unalotaka unafanya kwenye hayo maduka ya iPhone kitu ambacho mnakonunua huko za mtumba ila maboxi mapya ndio mnakuja hapa kusema iPhone inachemsha betri...Broo usinafananaishe magari na simu, hapa tunaongelea simu.
Apple walichofanikiwa ni kuwateka wateja wao kifikra, we chunguza tuu jinsi wanavoitetea iPhone, almost 90% watarudia point zilezile, maana yake nn?? Wamekaririshwa
Product za iPhone zina ubora ila haimaanishi kwamba zinapita ubora wa android, mbona vitu viko wazi sema tuu hufatilii, asaiv innovation anazofanya apple asaiv Samsung alizifanya miaka ya nyuma sema tuu hatufatilii mambo.
Kuhusiana na ubora, nitakupa mfano, rafiki yangu kanunua iPhone 13 muda sawa na mm nilivonunua simu yangu mpya android, hadi sasa yeye kabadilisha betri mm bado betri langu linadunda na matumizi ni yaleyale.
Tukija kweny processor, hadi sasa kwa matoleo latest chip ya android ndo bora kuliko iPhone.
Tukije kweny camera, still Samsung S24 na Sony zina ubora wa camera kuliko iPhone.
Point zenu mnazotumia ni the fact kwamba iPhone ina OS system ya kipekee ambayo haishei na simu zingine point ambayo haina nguvu kwa sababu android operating system yake kutumika na simu nyingi haiifanyi iwe dhaifa, na iPhone kutumia OS yake haiifanyi iwe bora kwasababu inatumika na iPhone tuu, kwanza hadi sasa QuickShare ya Samsung ishakuwa proven ina speed kuliko AirDrop, sasa mi sijui mnachoringia ni nn??
Ni kweli huwez kuwafananisha, wote wana product nzuri, ila iphone products are overhyped, nikuulize swali iphone imeizidi nn Samsung?? Au tulieke swali hivi wewe unaweza kufanya nn kweny iphone yako mm siwez kweny Samsung yangu??(hapa tunazungumzia matoleo yote)Sumsung sio wa kuwafananisha na hao jamaa
Cc dronedrakeWatuletee tu na sabuni za apple watu wajichukulie Sheria mkononi
Yeye hawezi share music na watu wa simu nyengine na hata mwenye iphone kama hana itune.Ni kweli huwez kuwafananisha, wote wana product nzuri, ila iphone products are overhyped, nikuulize swali iphone imeizidi nn Samsung?? Au tulieke swali hivi wewe unaweza kufanya nn kweny iphone yako mm siwez kweny Samsung yangu??(hapa tunazungumzia matoleo yote)
Nimeumia? Unadhani unanijua kiasi hicho hadi ujue nimeumizwa na jambo? Ni kazi ngumu sana kwa mimi kuumia kwa mijadala.Seems hata husomagi articles wala hutazami videos za products review. Always titles and content zinaweza kuwa harsh na za kukera kwa die hard fans wa bidhaa kama wewe ulivoumia apple kukandwa hapa. Get used to it bro.
Maswali ya kijinga haya nadhani...na pia hauna kitu unajua wacha nikusukume...Ni kweli huwez kuwafananisha, wote wana product nzuri, ila iphone products are overhyped, nikuulize swali iphone imeizidi nn Samsung?? Au tulieke swali hivi wewe unaweza kufanya nn kweny iphone yako mm siwez kweny Samsung yangu??(hapa tunazungumzia matoleo yote)
Hii ni kweli aunt yangu amenunua iPhone china nilivyoishika Nimeona nyepesi tofauti na yangu nikashindwa kuelewaiPhone za china zinakua nyepesi uzito wake tofauti na za USA au Australia
Try me??Maswali ya kijinga haya nadhani...na pia hauna kitu unajua wacha nikusukume...
Itetee simu yako,kama unaona haina maana unakausha tu,kudhani kila mtu anaponda sababu hawezi kununua ni uzembe wa kufikiri.Kuna ile hadithi 'sungura alipozikosa zabibu alisema sizitaki mbichi hizi'. Ndiyo hao wanaopiga kelele na iphone.