Mnaotumia bidhaa za Apple® Mnapigwa sana. Sijui hata mnavyotoa hela mnafikiriaga nini?

kama huna fedha wewe songa mbele wenzako watanunua.
Watanzania tuna tatizo la exposure. Watu wengi wanadhani maisha wanayoishi Tanzania ndiyo yalivyo dunia nzima. Ulaya simu kama Iphone ni kitu affordable kwa kila mtu na wala ukiwa nayo hakuna anayekuangalia mara mbili eti una simu nzuri au ya bei. Sasa unakuta wenzako huku kwa kina kamchape ambako watu wanaishi kwa show off na kununua iphone ni mpaka mtu utambike, wanadhani dunia yote iko hivyo.
 
Jf bhana
 
JAMIIFORUMS HAKUNAGA MASIKINI, KILA MTU NI TAJIRI BAC KWA TAARIFA YAKO.
 
Broo you cooked him 😂 😂 😂

JamiiForums kila mtu ni tajiri hakunaga masikini, kwan we hujui??
 
cha ajabu wanaolalamika bei sio watumiaji wa bidhaa husika.

Ukiona bidhaa huielewi elewi bei zake basi jua wewe sio target market yao.

Hata rolls royce ya billion 2 kadhaa kama hauna pesa utaona ni gharama wakati kuna benz ya bei chee inaku offer the same au inakimbia zaidi ya RR

We kama huwezi kutoa milion 5 kununua laptop, kuna wenzio hio pesa ya nyanya tu hawaoni shida ku spend hapo
 
Kuna ile hadithi 'sungura alipozikosa zabibu alisema sizitaki mbichi hizi'. Ndiyo hao wanaopiga kelele na iphone.
😂 😂 😂
Sister unachekesha sana, mimi hadi sasa nimewanunulia watu wawili iPhone, moja ilikuwa iphone11 Pro max, the other one ilikuwa iphone 12 plain, ningekuwa natamani iphone ningekuwa nayo.

Tatizo ideology yenu ni kwamba, kila mnapomwona android user mnadhani anatamani kuwa na iphone sema kashindwa kununua, which is very wrong😂

Mfano mi namiliki Note 20 Ultra, niliichukua ilipokuwa imetoka yaan ndo kwanza ya moto, bei yake nisingepata iphone nzuri??
 
Rafiki yako alinunua simu mbovu sio kwa iPhone store maana hakuna wakala wa hiyo simu Tanzania...mtu ananunua simu ya Dubai au Hong Kong harafu unakuja na majibu ya jumla mimi natumia Sumsung na iPhone ambayo nimenunua iPhone store zinakuwa na warranty ya muda mrefu na ukitaka ku upragrade toleo unalotaka unafanya kwenye hayo maduka ya iPhone kitu ambacho mnakonunua huko za mtumba ila maboxi mapya ndio mnakuja hapa kusema iPhone inachemsha betri...
Sumsung sio wa kuwafananisha na hao jamaa ingawaje mimi ni fan wa Sumsung kwenye simu na TV,Microwave,fridge ni LG ...
 
Siwez kununua hata kimoja hapo kwa oesa yangu japo ninavyo vya brand nyingine na napata kile kile wanachopata wao .
 
Sumsung sio wa kuwafananisha na hao jamaa
Ni kweli huwez kuwafananisha, wote wana product nzuri, ila iphone products are overhyped, nikuulize swali iphone imeizidi nn Samsung?? Au tulieke swali hivi wewe unaweza kufanya nn kweny iphone yako mm siwez kweny Samsung yangu??(hapa tunazungumzia matoleo yote)
 
Yeye hawezi share music na watu wa simu nyengine na hata mwenye iphone kama hana itune.
Upuuzi mtupu.
 
Seems hata husomagi articles wala hutazami videos za products review. Always titles and content zinaweza kuwa harsh na za kukera kwa die hard fans wa bidhaa kama wewe ulivoumia apple kukandwa hapa. Get used to it bro.
Nimeumia? Unadhani unanijua kiasi hicho hadi ujue nimeumizwa na jambo? Ni kazi ngumu sana kwa mimi kuumia kwa mijadala.

Na humu JF kuna mtu mmoja tu ndiye anayejua nakuwaje nikiwa nimeumia, ni huyo tu, hakuna mwingine. Ni yeye ndiye aliyepata fursa ya kunijua.

Ova
 
Maswali ya kijinga haya nadhani...na pia hauna kitu unajua wacha nikusukume...
 
Kuna ile hadithi 'sungura alipozikosa zabibu alisema sizitaki mbichi hizi'. Ndiyo hao wanaopiga kelele na iphone.
Itetee simu yako,kama unaona haina maana unakausha tu,kudhani kila mtu anaponda sababu hawezi kununua ni uzembe wa kufikiri.

NI sawa na mtu anunue tecno ya laki 5,useme hana hela ya samsung,lazima ana sababu zake tu nyingine sio hela tena.

Iphone ni simu nzuri sana,sio simu ghali zaidi,wanaomiliki sio kwamba wana hela sana,tukae humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…