Mnaotumia bidhaa za Apple® Mnapigwa sana. Sijui hata mnavyotoa hela mnafikiriaga nini?

Watakuwa wameturoga soo bure
 
Kwa products zao naona ni sawa tu, wakitoa kitu wametoa, materials wanayotumia ni next level, designing n.k kingine jamaa wanatoa toleo la simu moja ambayo ni flagship, mfano samsung wana simu hizi za bei nafuu mfano A series ku compete na Tecno, Infinix n.k kitu ambacho iphone hawafanyi, ukiikamata iphone mkononi au macbook unajua kabisa nimeshika kitu.

Kingine Apple bidhaa zao wana offer mambo mengi ambayo wakati mwingine unahisi huna matumizi nayo.

Last jamaa wana total control of their devices kuanzia software na hardware ni wao wana design ukiachana na infinix, oppo n.k ambapo OS wanategemea ni android, hili ni jambo linawafanya vifaa vyao viwe na best perfomance cause wana customize OS yao iendane na hardware zao, Siwezi hata kuongelea nikaeleweka lakini jamaa wanapobuni product wanaangalia kila kitu hata features za kupuuzia jamaa wanafanya deep research, hawachukilii vitu poa.

Kingine soko lao sidhani kama wanalenga zaidi nchi zetu za ulimwengu wa tatu that's why tunaona ni expensive.

Naona wapo sawa tu.
 
A
ANdiko makini.pongezi kwako Kwa ufafanuzi makini
 
Kwa products zao naona ni sawa tu, wakitoa kitu wametoa, materials wanayotumia ni next level, designing n.k kingine jamaa wanatoa toleo la simu moja ambayo ni flagship, mfano samsung wana simu hizi za bei nafuu mfano A series ku
.Bro hao jamaa ni wezi tu punguza kuwapamba, products zao hasa za smartphones zina specs za kawaida ila bei iko juu sana, hata hivyo watu wameanza kujielewa sasahivi ndio maana Hata mauzo ya products zao yameshuka kwa kasi na wamepata hasara ya billion ya fedha
 
Ni upumbavu tuu wa maskini kutaka kujionyesha , iPhone ya million 3 mtu anayeitumia Kwa usahihi ni mtu wa digital tena mwenye mambo complex, hawa wengine kaz ni kujisnap tuu, si ukanunue kiwanja Chanika huko ujenge upangishe watu
 
Watuletee tu na sabuni za apple watu wajichukulie Sheria mkononi
Kwanza unatakiwa kujua products za US almost 90% ni corporate customers ndio target yao hivyo huwezi pata kwa bei ya mchina ikiwa target sio Africa,hata mchina ana Products km za US but hua anachagua hii bidhaa ni ya EU/US or third world countries.

Kingine innovation ya apple ni unique sn and gharama hivyo lazima arudishe alichotoa but performance ya products zake haishuki as time goes on.

Kuna MacBook za 2012 mpk sasa zinapiga mzigo kuliko most windows pc.
 
Wa tz 🇹🇿 wanapenda vitu vya bei Chee, Ndio maana.kila siku wako Kwa mafundi.

Hata hivyo pesa ya tz 🇹🇿, ni Takataka kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…