Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi ni Laptop tu. Nako kamoja kako faster na muda wote ni kabaridi kama kamewekwa kwenye freezer.Laptop Macbook Pro unyama sana kwenye performance na kukaa chaji.
Sijawahi kutumia iPhone kabisa.
Mchina aliniangusha aisee mimi mwenyewe nilikuwa na Redmi note 11 pro nilikuwa navimba mega pixel 108 AI Camera kumbe hamna kitu ila kuna vitu Redmi ipo poa sanaItakua iPhone Kumi na Kitu Pro
Camera & Video iPhone naaambiwa ni mwisho wa matatizo.Mchina aliniangusha aisee mimi mwenyewe nilikuwa na Redmi note 11 pro nilikuwa navimba mega pixel 108 AI Camera kumbe hamna kitu ila kuna vitu Redmi ipo poa sana
Hiyo bando yenyewe ya kuzipandisha ipo wapi...picha mb 40😁Camera & Video iPhone naaambiwa ni mwisho wa matatizo.
Ila kuweka Mil 3 kisa picha za kupost Instagram, au WhatsApp au FB ambao wana zicompress hafu anakuja kuziona mtu mwenye simu yenye kioo 720p haimake sense.
Kila bidhaa duniani ina mlengwa wake, ambaye akiiona tu wala hajiulizi mara mbili au kuanzisha thread ya kulalamika.
Wasio walengwa ndiyo hivi ukiona hizo bei unaziwaza tofali na mifuko ya sementi, lakini walengwa wanaona tu hiyo Apple.
So waachie walengwa waishi maisha yao.
Ova
Ni kama mimi nianze kuwaponda wanaotumia Range Rover eti wanapigwa kweli huku nikiwa nipo chini ya uvungu wa passo yangu nikiangalia kama haivujishi..
Ma auditors huku mtaani wanazo
Ya nani ililipuka? Yule msaniii anachaji iphone six na chaji ya kuanzia kuchaji iphone 11 alikitafuta mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣
Hayo maaifoni si ndio nasikia yanajilipukiaga tu. Infinix ni mwamba.
Broo usinafananaishe magari na simu, hapa tunaongelea simu.Kesho watakuja na nyuzi ya kuponda Ford Ranger na kusifia Suzuki vitara...
Yanalipuka bwanaaa🤣🤣🤣🤣Ya nani ililipuka? Yule msaniii anachaji iphone six na chaji ya kaunzia kuchaji iphone 11 alikitafuta mwenyewe
Na kwanini sasa ipate joto? Hiyo ni simu au ni pasi?Yanalipuka bwanaaa🤣🤣🤣🤣
Infinix hailipuki ng'oooo. Ila tu inapata joto kidoooogo.
Mchele una mapishi mengiBroo usinafananaishe magari na simu, hapa tunaongelea simu.
Apple walichofanikiwa ni kuwateka wateja wao kifikra, we chunguza tuu jinsi wanavoitetea iPhone, almost 90% watarudia point zilezile, maana yake nn?? Wamekaririshwa
Product za iPhone zina ubora ila haimaanishi kwamba zinapita ubora wa android, mbona vitu viko wazi sema tuu hufatilii, asaiv innovation anazofanya apple asaiv Samsung alizifanya miaka ya nyuma sema tuu hatufatilii mambo.
Kuhusiana na ubora, nitakupa mfano, rafiki yangu kanunua iPhone 13 muda sawa na mm nilivonunua simu yangu mpya android, hadi sasa yeye kabadilisha betri mm bado betri langu linadunda na matumizi ni yaleyale.
Tukija kweny processor, hadi sasa kwa matoleo latest chip ya android ndo bora kuliko iPhone.
Tukije kweny camera, still Samsung S24 na Sony zina ubora wa camera kuliko iPhone.
Point zenu mnazotumia ni the fact kwamba iPhone ina OS system ya kipekee ambayo haishei na simu zingine point ambayo haina nguvu kwa sababu android operating system yake kutumika na simu nyingi haiifanyi iwe dhaifa, na iPhone kutumia OS yake haiifanyi iwe bora kwasababu inatumika na iPhone tuu, kwanza hadi sasa QuickShare ya Samsung ishakuwa proven ina speed kuliko AirDrop, sasa mi sijui mnachoringia ni nn??
Inakukumbusha kuwa unamiliki kifaa matata sana cha mawasiliano🤣Na kwanini sasa ipate joto? Hiyo ni simu au ni pasi?