Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Zina ubora, mimi natumia MacBook Pro, nina Smart Watch ya Apple, nina IiPhone 14 Pro Max ila kwenye Tablet bado natumia ya Samsung🤣🤣🤣 Sasa waya ndio uuzwe elfu 70 kwenda juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zina ubora, mimi natumia MacBook Pro, nina Smart Watch ya Apple, nina IiPhone 14 Pro Max ila kwenye Tablet bado natumia ya Samsung🤣🤣🤣 Sasa waya ndio uuzwe elfu 70 kwenda juu
Haiwezekani mtu ananunua simu ambayo ikipata clack kidogo. Anapata plessure, au ana kaa months bila ku lipear.Nikiwa na fuba sitaona shida kuvinunua hivyo, ila kwa uchumi huu wa kati hapana kwakweli.
Acha tukomae na Samsung tu.
Yaani ununue simu, ununue usb, ununue kichwa cha chaji, ununue cover alooo yaani unakamilisha simu mdogomdogo kama unajenga vile
Latest iphones mbona zinatumia type C?Nikiwa na fuba sitaona shida kuvinunua hivyo, ila kwa uchumi huu wa kati hapana kwakweli.
Acha tukomae na Samsung tu.
Yaani ununue simu, ununue usb, ununue kichwa cha chaji, ununue cover alooo yaani unakamilisha simu mdogomdogo kama unajenga vile
Hawatakaa wakakuelewa aisee. Kamwe. Na watumiaji Wengi wa simu tunatumia chini ya 30%Ujinga ni mara moja, ukiurejea ujinga mara ya pili maana yake umeamua kwa hiari yako kuwa mpumbavu.
Ni waafrika tu ambao huwa tunaona fahari kumiliki mavitu ya gharama ili tuonekane nasisi tumo au tuna hela wakati mambo ya msingi mengi tu yanatushinda. Umaskini hauondoki kwa kumiliki iphone ya million 3 😂 tubadilike maana wengi wanatumia nguvu kubwa kuonekana matajiri wakati kimsingi hawana huo utajiri.
chaiKampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi wanawaibia "loyal customers" wake, sema ndio ivyo hawaoni au wanajizima data.
Tuachane na iPhone zao kua Million 3 kwenda juu, au Laptop zao za kishua. Ebu Kwa mfano checki izi products:
Mac Pro wheels $700 (Tsh Mil 1.8)
Hii sio computer, ni magurudumu manne ya kuweka kwenye CPU sijui tuiite ya Mac Pro. Hujakosea kusoma.
View attachment 3000624Haya matairi ilibidi wayagawe bure unavyonunua iyo bidhaa yao.
Mac Pro stand $1000 (Tsh Mil 2.6)
Naam. Mil 2.6 tunanunua stendi ya kuiwekea Monitor yetu ya Mac.
View attachment 3000625Hii pia ilitakiwa upewe bure. Kwann walitengeneza computer isio na stendi?
Mikanda ya saa $100 (Tsh Laki 2.6)
Achana na bei ya saa, mkanda tu huu unauzwa laki 2 na nusu na zaidi.
View attachment 3000608
Airpods Max $550 (Tsh Mil 1.4)
Utakua ushakutana na mabishoo wamevaa copy ya aya madude.
View attachment 3000627
Aisee original yake ndio ivo, Mil 1.4 cash.
Apple Pencil $130 (Tsh 340,000/=)
Hii wenzio Samsung ukinunua Tab wanakupa bure sijui kwann wao wanauza.
View attachment 3000606
Mac Pro $7000 (Tsh Mil 18)
Ukiliona kwenye picha kama kidude cha kusugulia nyanya au karoti. Ila ndio ivyo tena, bei ya gari.
View attachment 3000631
Waya type C $30 (Tsh 77,000/=)
Waya tu, wa mita 2 unauzwa hivi. Bila kichwa. Bila protector. Bila kava. Waya.
View attachment 3000614
Cover la Simu la Silicon $50 (Tsh 130,000/=)
Haya makava tunayaona kwa elfu 5 yanauzwa Kariakoo. Wao wanauza bei ya simu.
View attachment 3000609
Mac Pro Display $1500 na Stendi yake inafika hadi $2000 (Tsh Mil 3.9 hadi Mil 5.1)
Hii ni display ya kile kidude cha kusugulia nyanya. Display tu.
View attachment 3000612
Airpods Pro $250 (Tsh 650,000)
Sijawahi tumia kwahiyo sijui mziki wake ila kutoa Laki 6 kisa utu tudude hapana.
View attachment 3000621
Polishing Cloth $20 (Tsh 52,000)
Kitambaa cha kusafishia kioo cha simu au laptop au ipad kinauzwa bei ivo.
View attachment 3000638
Apple Mouse $100 (Tsh 250,000)
Hii ni mouse kama unayoijua sema ya kuchaji.View attachment 3000648Hafu port ya kuchajia ipo chini kwahiyo ikiisha chaji hauwezi kutumia. Kha.View attachment 3000650
Mi labda sina hela, ila kununua bidhaa ya Apple naona kabisa napigwa. Ata iPhone najua ina nguvu ina balaa ila kama wanakuibia kwenye bidhaa zingine kwann wasikuibie kwenye iPhone.
Nimejiandaa kuambiwa nitafute hela.
Bidhaa nyingi, tunanunua kwa show off sio kwa kujua au kuhitaji matumizi yake.Kwanza nakubaliana na hoja kwamba hizi bidhaa zina ubora.ILA NA UHUNI UPO,
mfano wengi wamesema material inayotumika kutengeneza bidhaa za Apple ni "next level"
Fafanua tofauti ya malighafi iliyotengeneza iphone na Samsung ili tone huo uexceptional
Wengine wanaongelea security features,eleza in details tofauti ya hizo apple na abdroids ili tuone.
Kikubwa zaidi mimi naona hizi bidhaa zimekaa kimashindano zaidi.zinasambaza aura ya taifa la marekani na ziko more hyped.
Wapuuzi utawasikia "tafuta hela"
Ndo maana tunakufa masikini kwa kuendekeza prestigious badala ya prosperity.
Jamaa dunia imeanza kuwastukia
Nilitaka kuandika chochote lakini naona umemaliza kila kitu mwenye uelewa ataelewa.Kwa products zao naona ni sawa tu, wakitoa kitu wametoa, materials wanayotumia ni next level, designing n.k kingine jamaa wanatoa toleo la simu moja ambayo ni flagship, mfano samsung wana simu hizi za bei nafuu mfano A series ku compete na Tecno, Infinix n.k kitu ambacho iphone hawafanyi, ukiikamata iphone mkononi au macbook unajua kabisa nimeshika kitu.
Kingine Apple bidhaa zao wana offer mambo mengi ambayo wakati mwingine unahisi huna matumizi nayo.
Last jamaa wana total control of their devices kuanzia software na hardware ni wao wana design ukiachana na infinix, oppo n.k ambapo OS wanategemea ni android, hili ni jambo linawafanya vifaa vyao viwe na best perfomance cause wana customize OS yao iendane na hardware zao, Siwezi hata kuongelea nikaeleweka lakini jamaa wanapobuni product wanaangalia kila kitu hata features za kupuuzia jamaa wanafanya deep research, hawachukilii vitu poa.
Kingine soko lao sidhani kama wanalenga zaidi nchi zetu za ulimwengu wa tatu that's why tunaona ni expensive.
Naona wapo sawa tu.
Mm nina samsung hata sikumbuki nilinunua lini ila ni kama miaka 4 imepita, Tsh 500,000/= na ninavyoiona ina miaka mingine kama 4 au 5. Naona ni simu bora sana samsung. Jaribu.Zina ubora, mimi natumia MacBook Pro, nina Smart Watch ya Apple, nina IiPhone 14 Pro Max ila kwenye Tablet bado natumia ya Samsung
[emoji3][emoji3]Ukitumia unakojoa MB 🫡
[emoji3][emoji3]na mafuta ya Apple watu wakwee mu-apple kwa mkono mmoja dronedrake
Kila bidhaa duniani ina mlengwa wake, ambaye akiiona tu wala hajiulizi mara mbili au kuanzisha thread ya kulalamika.Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi wanawaibia "loyal customers" wake, sema ndio ivyo hawaoni au wanajizima data.
Tuachane na iPhone zao kua Million 3 kwenda juu, au Laptop zao za kishua. Ebu Kwa mfano checki izi products:
Mac Pro wheels $700 (Tsh Mil 1.8)
Hii sio computer, ni magurudumu manne ya kuweka kwenye CPU sijui tuiite ya Mac Pro. Hujakosea kusoma.
View attachment 3000624Haya matairi ilibidi wayagawe bure unavyonunua iyo bidhaa yao.
Mac Pro stand $1000 (Tsh Mil 2.6)
Naam. Mil 2.6 tunanunua stendi ya kuiwekea Monitor yetu ya Mac.
View attachment 3000625Hii pia ilitakiwa upewe bure. Kwann walitengeneza computer isio na stendi?
Mikanda ya saa $100 (Tsh Laki 2.6)
Achana na bei ya saa, mkanda tu huu unauzwa laki 2 na nusu na zaidi.
View attachment 3000608
Airpods Max $550 (Tsh Mil 1.4)
Utakua ushakutana na mabishoo wamevaa copy ya aya madude.
View attachment 3000627
Aisee original yake ndio ivo, Mil 1.4 cash.
Apple Pencil $130 (Tsh 340,000/=)
Hii wenzio Samsung ukinunua Tab wanakupa bure sijui kwann wao wanauza.
View attachment 3000606
Mac Pro $7000 (Tsh Mil 18)
Ukiliona kwenye picha kama kidude cha kusugulia nyanya au karoti. Ila ndio ivyo tena, bei ya gari.
View attachment 3000631
Waya type C $30 (Tsh 77,000/=)
Waya tu, wa mita 2 unauzwa hivi. Bila kichwa. Bila protector. Bila kava. Waya.
View attachment 3000614
Cover la Simu la Silicon $50 (Tsh 130,000/=)
Haya makava tunayaona kwa elfu 5 yanauzwa Kariakoo. Wao wanauza bei ya simu.
View attachment 3000609
Mac Pro Display $1500 na Stendi yake inafika hadi $2000 (Tsh Mil 3.9 hadi Mil 5.1)
Hii ni display ya kile kidude cha kusugulia nyanya. Display tu.
View attachment 3000612
Airpods Pro $250 (Tsh 650,000)
Sijawahi tumia kwahiyo sijui mziki wake ila kutoa Laki 6 kisa utu tudude hapana.
View attachment 3000621
Polishing Cloth $20 (Tsh 52,000)
Kitambaa cha kusafishia kioo cha simu au laptop au ipad kinauzwa bei ivo.
View attachment 3000638
Apple Mouse $100 (Tsh 250,000)
Hii ni mouse kama unayoijua sema ya kuchaji.View attachment 3000648Hafu port ya kuchajia ipo chini kwahiyo ikiisha chaji hauwezi kutumia. Kha.View attachment 3000650
Mi labda sina hela, ila kununua bidhaa ya Apple naona kabisa napigwa. Ata iPhone najua ina nguvu ina balaa ila kama wanakuibia kwenye bidhaa zingine kwann wasikuibie kwenye iPhone.
Nimejiandaa kuambiwa nitafute hela.
Ili nalo neno. Nimelipokea mkuu.Kila bidhaa duniani ina mlengwa wake, ambaye akiiona tu wala hajiulizi mara mbili au kuanzisha thread ya kulalamika.
Wasio walengwa ndiyo hivi ukiona hizo bei unaziwaza tofali na mifuko ya sementi, lakini walengwa wanaona tu hiyo Apple.
So waachie walengwa waishi maisha yao.
Ova