Mnaotumia bidhaa za Apple® Mnapigwa sana. Sijui hata mnavyotoa hela mnafikiriaga nini?

Nimetetemeka mikono.
 
ukimani watu hela hawana. na thamani ya chilingi inadoro deile dhidi ya dola
 
Soma kwanza kichwa cha habari cha hii thread, halafu uje usome maoni yangu kisha unijibu upya.

Ova

Seems hata husomagi articles wala hutazami videos za products review. Always titles and content zinaweza kuwa harsh na za kukera kwa die hard fans wa bidhaa kama wewe ulivoumia apple kukandwa hapa. Get used to it bro.
 
Upeo wa macho yako umefika hapo. Maskini anawaza kutokana na umaskini wake na tajiri the same.
Mimi nakunywa Cappucino kila siku hapa Masaki Koffe Kafe, kikombe Kimoja ni Tshs 12,000 bila hata kipande cha cake.
Mwenye mawazo ya kimaskini anakwambia hiyo hela unakunywa kawaha mwezi mzima sehemu za uswahilini, kupanga ni kuchagua. Kwa siku nikikaa kikao cha kawaida posho ni Tsh 400,000/- , kunywa elfu 50,000 kwa siku ni ndogo sana.
 
Watumia iPhone acheni kujibeza na kudanganya.

Kwanza panaitwa Kaffé Koffee sio "Koffe Kafe" ulichoandika wewe.

Pili, Cappuccino kikombe kimoja sio elfu 12, ni elfu 6 tu. Menu hii hapa na attach:


Turudi kwenye mada kuu ya Apple.
 

Kisa ana iphone anadhani anajua mambo kuliko wote. Typical Mikumbo ya ki iphone
 
Mkuu kulipwa 400k kwa siku haina maana usiulize bei unaibiwa bana.😁😁😁
 
Tukiongelea kupigwa, ni kupigwa aswaa. Mfano mwingine, iPhone 15 Pro Max inatengenezwa kwa $550 tu.

Ila inakuja uzwa $1,199 kabla ya ushuru.

 
Tukiongelea kupigwa, ni kupigwa aswaa. Mfano mwingine, iPhone 15 Pro Max inatengenezwa kwa $550 tu.

Ila inakuja uzwa $1,199 kabla ya ushuru.

View attachment 3002126
Mkuu what is a true Price of a product ? Ingekuwa unauziwa product kutokana na production cost nanasi lisingeuzwa 500..., Unauziwa bei kulingana na unaweza kutoa kiasi gani (wengine wanapenda na wananunua sababu tu ni gharama) pia kuna vitu (especially food products) unaweza ukakuta packages zina bei kuliko kilichomo...

Hio ndio dunia ya sasa vitu vinauzwa sio sababu ni bora zaidi bali sababu ni nani muuzaji (promotion and marketing skills) zaidi....; Ingawa kwa Iphone ina flagship ya Security ndio maana watu wazito wajali privacy utawakuta na hii kitu (used to be Blackberry)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…