Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

Jf watu wanajifanya wana maisha mazuri..... Ukitembea barabarani unaona watu wanachoma mahindi, wengine wanatembeza karanga but wakija huku jf wanavimba kinoma. Yaani muuza karanga nae AMESHUPAZA SHINGO "Tecno ni simu ya kithenge"
Mkuu embu acha makasiriko.
 
Hivi mtu inakuaje unaingia mfukoni unanunua tecno, itel, infinix, n.k unless uwe mwanafunzi au ndo smart yako ya kwanza.

Heri Samsung ya laki mbili kuliko tecno ya laki 3 au 4.
 
Hivi mtu inakuaje unaingia mfukoni unanunua tecno, itel, infinix, vivo n.k unless uwe mwanafunzi au ndo smart yako ya kwanza.

Heri Samsung ya laki mbili kuliko tecno ya laki 3 au 4.
Kwani unaumia ukiwa wapi?
 
Hivi mtu inakuaje unaingia mfukoni unanunua tecno, itel, infinix, vivo n.k unless uwe mwanafunzi au ndo smart yako ya kwanza.

Heri Samsung ya laki mbili kuliko tecno ya laki 3 au 4.
Hadi vivo unaidiss mkuu??
 
Jf watu wanajifanya wana maisha mazuri..... Ukitembea barabarani unaona watu wanachoma mahindi, wengine wanatembeza karanga but wakija huku jf wanavimba kinoma. Yaani muuza karanga nae AMESHUPAZA SHINGO "Tecno ni simu ya kithenge"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usisahau pia kwamba Jamiiforums kila mtu ana LANDCRUISER.
 
Ujinga wa waswahili utakuchosha.

Tumia simu unayoona inakustahili.

Tunawajua hawa waigizaji wa mitandaonii mashauzi mengi kumbe wachoma mahindi.
 
Ni techno toleo gani?? Kulalamika huku huelezi ni toleo gani ni sawa na ujinga maana unasaidiwaje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…