ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 510
- 213
Nimeshuku kitu hiki Ila dawa ya kumaliza tatizo hili ni nini?anatumia mgongo wa mtoto kukudangia, dhambi kubwa sana hii
Nakazia.hapo tafuta msaaada wa kisheria kama mazingira yako yanaruhusu umchukue wewe,yaani umeoa na unaishi na mke.
Siwezi kukushauri zaidi ila kazi unayo, maana ushageuka kuwa 'sponsa'Nimeshuku kitu hiki Ila dawa ya kumaliza tatizo hili ni nini?
Kwa niaba ya marehemuMkuu huyo si mtoto wako na hujazaa naye, akizingua mpotezee akiona hata hiyo aliyokuwa anakataa hapati atakuja kukupigia magoti .
Kwa vile mtoto hajaanza shule kata kwanza huduma ,atakuja na mawili baada ya kumnyima msaada.
1. Kuja kubebeleza ili apate hata hiyo kidgo.
2. Atatishia namleta mtoto wenu mlee ,hapo ndo poa
Hii ndio yenyeweMkuu huyo si mtoto wako na hujazaa naye, akizingua mpotezee akiona hata hiyo aliyokuwa anakataa hapati atakuja kukupigia magoti .
Kwa vile mtoto hajaanza shule kata kwanza huduma ,atakuja na mawili baada ya kumnyima msaada.
1. Kuja kubebeleza ili apate hata hiyo kidgo.
2. Atatishia namleta mtoto wenu mlee ,hapo ndo poa
Wapo, nina mfano halisi wa aina ya huyo shemeji.Kiri huyo ni mtoto wako. Sidhani kama shemeji yako anaweza kukulazimisha kutoa matumizi labda kama umezaa naye. Kuwa mkweli upate msaada sahihi.
Ajifanye kauzu tu hata kwa miezi miwili ndo huyo shemeji yake atajua hela ilivyo ngumu kupataJifanye kauzu, usimpe chochote atakutafuta mwenyewe.
Mwambie Mimi bajeti yangu hii hutaki basi nipe Mtoto, hao wadada hawana shukrani
Kwanza akienda ustawi jamii unaambiwa umpe 30,000-40000 tu kwa mwezi
Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kaziajifanye kauzu tu hata kwa miezi miwili ndo huyo shemeji yake atajua hela ilivyo ngumu kupata
Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kaziMkuu huyo si mtoto wako na hujazaa naye, akizingua mpotezee akiona hata hiyo aliyokuwa anakataa hapati atakuja kukupigia magoti .
Kwa vile mtoto hajaanza shule kata kwanza huduma ,atakuja na mawili baada ya kumnyima msaada.
1. Kuja kubebeleza ili apate hata hiyo kidgo.
2. Atatishia namleta mtoto wenu mlee ,hapo ndo poa
Wapo, nina mfano halisi wa aina ya huyo shemeji.
Kuna watu wana jeuri za kijinga af hawana adabu.
Wapo kibao mzee na kuna mwanangu nae analea na kuhudumia watoto wa bro wake aliepita hivi.Kiri huyo ni mtoto wako. Sidhani kama shemeji yako anaweza kukulazimisha kutoa matumizi labda kama umezaa naye. Kuwa mkweli upate msaada sahihi.
Mchukue ukaenae au mpeleke kwa Wazazi wako kama mazingira yana ruhusu.Nimeshuku kitu hiki Ila dawa ya kumaliza tatizo hili ni nini?