Mnaouliza Kuwa Lissu kushinda nini kitabadilika, angeshinda Mbowe nini kingebadilika?

Ndio mbona alisema wazi?
Aridhiane na nani? Kwa mambo yapi? Kwani kuna ugomvi na nani? Hakuna haja ya maridhiano, kinachotakiwa kuwe na tume huru ya uchaguzi na kufuata kwa usahihi kwa katiba (angalao hii ya sasa ingawaje ina mapungufu mengi) na mwisho wa siku ipatikane katiba mpya ya mwananchi.
Eti ccm mnatumia sanduku la KURA. ARE YOU SERIOUS? Kilicho fanyika Dodoma ni sanduku la kura lile? Au ubakaji wa kura. Acha ujinga na uchawa bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…