Chadema hawana sera zozote ndio maana hata wewe mwanachadema hujui.
CCM Ina brain na uzoefu inajua Cha kufanya ,nyie wengine mnachotagita ni madaraka tuu Kwa kuwa brainwash wajinga.
CCM itatumia sanduku la kura kama ambavyo imekuwa inafanya miaka yote,Ina Cha kuonesha.
Sasa nyie chama Cha Upinzani hamna hata sera Bora kuzidi CCM Ili muaminike zaidi ya wimbo wa Katiba Mpya ambao mnadhani ndio itawasaisi akuingia kwenye Utawala.
On top of that Kwa chama.kutokuwa na sera zinazoeleweka manake ni kwamba hakuna kitakachobadilika zaidi ya sura za Viongozi.
Mwisho,Moja ya hasara zitakazotokea ni wafanyabiashara na wawekezaji kukimbia kama.ilivyokuwa awamu ya 6 Kwa sababu ya misimamo ya kiimla ya mtu kama Lisu.