Mnaovutiwa na warembo wa JF mlifanikiwa kuwapata?

Una uhakika nae tusije jichanganye Kwa mnyamwezi, sema Nini pia Kuna pisi inaitwa aizat, acha kaka sijiwezi kabisa na hapo, kwishaaaaaaa mimi
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai jitahidi kijana utampata...

Mbona dogo janja alikula wolper sijui uwoya kabisa. Piga kazi weka dau hakuna kinaloshindikana
 
Wapo mbona, kipindi nafanya kazi, mahala visiwani zenji, Kuna katoto kalikua jf, hata miaka 23 hakaja fika kazuri balaa acha tyu , tulipiga sana stori za jf lakin kalikataa kunambia I'd yake
Kwa hesabu ya haraka haraka tu, unataka kuniambia humu ndani wanawake walio active wanaweza kufika 100?
 
Kwa hesabu ya haraka haraka tu, unataka kuniambia humu ndani wanawake walio active wanaweza kufika 100?
Wapo sana tuu tena kuzidi midume, mwanamke nature yake ni privacy hawapendi online interaction wanasoma kimya kimya.... Angalia zile nyuzi za kuwapongeza uone interaction!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…