Wa
Wanawake by nature are not suposed to lead....ni ubunifu tu na "maendeleo" .Mfumo dumo uko dunia nzima na hakuna namna utaisha
Kibaya ni Mfumo Dume wenye dhamila mbovu ndio unapigwa vita
Kiranga nakuuliza swali unijibu hapa.
Tazama movie na miziki ya aina yoyote duniani........utakuta Mwanamke Character yuko Uchi ila kokote Mwanaume kavaa na kujistiri.
Huo ndio mfumo dume mbaya kupita yote.
Marekani kwenye mfumo unaodhaniwa ni Huru kwa Rika zote wana zaidi ya miaka 300 mpaka leo hakuna Rais Mwanamke.
Hata vyeo vya juu vya serikali wanawake ni wachache sana.
Sio kwamba hawana uwezo.
Tuna wanawake wengi wenye akili sana tu kuzidi Wanaume.
Tatizo ni vile mnatazama mfumo dume kama uadui na mnautumia vibaya.