Mnaowekeza Arusha karibu na uwanja wa AFCON wekeni mikakati ya muda mrefu kuendeleza biashara na sio faida ya mwezi mmoja ya AFCON.

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha wanawekeza mahoteli wakiitaja sana AFCON kama lengo lao.

Ikumbukwe AFCON ni mashindano ya mwezi mmoja tu na baada ya hapo huenda eneo la Mateves likabakiwa na ukiwa. Wawekezaji nawashauri wekezeni mkifikiria zaidi ya AFCON.
 
Match kubwa kubwa za ndani na za nje zitaendelea kuchezwa mara kwa mara sana kwasababu inatakuwa ni miongoni mwa viwanja chache bora Tanzania.
 
Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha wanawekeza mahoteli wakiitaja sana AFCON kama lengo lao.

Ikumbukwe AFCON ni mashindano ya mwezi mmoja tu na baada ya hapo huenda eneo la Mateves likabakiwa na ukiwa. Wawekezaji nawashauri wekezeni mkifikiria zaidi ya AFCON.
Naunga mguu hoja
 
Mtwara watu walipata sana hasara plot ya 1ml iliuzwa 10ml kisa gas mradi ukawa tia maji tia maji had leo mji umepoa
 
hakuna kitu cha maana kilichowahi kwenda sawa hapo , na sasahivi umeona watu wamevurugwa hela hawana uchawa,uchawi, majungu ,fitina yaani kila aina ya ubaya, na hii yote imesababishwa na kupora madaraka, wenye uwezo wako ndani vilaza wamejazana maofisini.
 
Back
Top Bottom