makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Nini sasa mwana grupu mwenzangu, yaani we upate tabu shemeji hayupo nami mwana grupu O mwenzio nipo, si utaniona nina roho mbaya mnoo, mie sina roho hiyo. 😂😂😂😂😂 khaaaaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini sasa mwana grupu mwenzangu, yaani we upate tabu shemeji hayupo nami mwana grupu O mwenzio nipo, si utaniona nina roho mbaya mnoo, mie sina roho hiyo. 😂😂😂😂😂 khaaaaaa!!!
Akichelewa atakuta mdogo ake mjr3 ashazaliwa kabisa mbona yee azubae tu huko asiseme hujamwambia!😁Namsubiri mpk nachoka!!
Sasa huo msimu wa embe si utaisha? 😂😂😂
We muache achelewe km hajakuta kadi ya mualiko
Lamomy comment zako ziko more matured, inaonekana una kitu kichwani jitahidi utafika mbali.🤣🤣🤣 Na hii tabia tunayo sana ke tunajionea kawaida, kumbe tunateseka balaa
Siumwi maisha yangu yote nmekua nalala hivyoUkilala hivi asubuhi ikifika huumwi mkuu?😀
😂😂😂😂 Nyie ndo wale “ babe naingiza kichwa tu!”Nini sasa mwana grupu mwenzangu, yaani we upate tabu shemeji hayupo nami mwana grupu O mwenzio nipo, si utaniona nina roho mbaya mnoo, mie sina roho hiyo. 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Uduguuu wee ni mwehuuu ujue 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂 Penzi jipya lina mambo, hata mwenzio akiachia bomu unavunga km hakuna hewa muingiliano
😂😂😂😂 udugu vayolensi hizoAkichelewa atakuta mdogo ake mjr3 ashazaliwa kabisa mbona yee azubae tu huko asiseme hujamwambia!😁
😂😂😂😂😂😂 Nyie ndo wale “ babe naingiza kichwa tu!”
Una mistari Makaveli aiseee!! Hapa nakuimagine unafananaje we baharia 🤣🤣
Jamani we mchina kweli? 😂😂😂Lamomy comment zako ziko more matured, inaonekana una kitu kichwani jitahidi utafika mbali.
Embu tupia pic nikuone mchizi wangu 🤭😂😂
Nipo kama mwanangu Tupac tu...
Nimecheka sana hiiKua uyaone
😂😂😂😂 hiroshima🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Uduguuu wee ni mwehuuu ujue 🤣🤣🤣😂😂😂😂
😁😁😁Usiwe serious sana mbuzi katoliki ww! Ukiona hapakufai kajadili katibaAcha utoto hili nalo swali
Yaaani unalala kama Li JMimi nikilala mashariki asubuhi najikuta naamkia kusini asa sijui ataweza[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji29]
Na hawasemi eti.Kumbe kuna kugandiana😌
😂 fanya ukuyeKumbe kuna kugandiana😌
Embu tupia pic nikuone mchizi wangu 🤭