makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Nini sasa mwana grupu mwenzangu, yaani we upate tabu shemeji hayupo nami mwana grupu O mwenzio nipo, si utaniona nina roho mbaya mnoo, mie sina roho hiyo. πππππ khaaaaaa!!!
Akichelewa atakuta mdogo ake mjr3 ashazaliwa kabisa mbona yee azubae tu huko asiseme hujamwambia!πNamsubiri mpk nachoka!!
Sasa huo msimu wa embe si utaisha? πππ
We muache achelewe km hajakuta kadi ya mualiko
Lamomy comment zako ziko more matured, inaonekana una kitu kichwani jitahidi utafika mbali.π€£π€£π€£ Na hii tabia tunayo sana ke tunajionea kawaida, kumbe tunateseka balaa
Siumwi maisha yangu yote nmekua nalala hivyoUkilala hivi asubuhi ikifika huumwi mkuu?π
ππππ Nyie ndo wale β babe naingiza kichwa tu!βNini sasa mwana grupu mwenzangu, yaani we upate tabu shemeji hayupo nami mwana grupu O mwenzio nipo, si utaniona nina roho mbaya mnoo, mie sina roho hiyo. π
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£! Uduguuu wee ni mwehuuu ujue π€£π€£π€£ππππππππ Penzi jipya lina mambo, hata mwenzio akiachia bomu unavunga km hakuna hewa muingiliano
ππππ udugu vayolensi hizoAkichelewa atakuta mdogo ake mjr3 ashazaliwa kabisa mbona yee azubae tu huko asiseme hujamwambia!π
ππππππ Nyie ndo wale β babe naingiza kichwa tu!β
Una mistari Makaveli aiseee!! Hapa nakuimagine unafananaje we baharia π€£π€£
Jamani we mchina kweli? πππLamomy comment zako ziko more matured, inaonekana una kitu kichwani jitahidi utafika mbali.
Embu tupia pic nikuone mchizi wangu π€ππ
Nipo kama mwanangu Tupac tu...
Nimecheka sana hiiKua uyaone
ππππ hiroshimaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£! Uduguuu wee ni mwehuuu ujue π€£π€£π€£ππππ
πππUsiwe serious sana mbuzi katoliki ww! Ukiona hapakufai kajadili katibaAcha utoto hili nalo swali
Yaaani unalala kama Li JMimi nikilala mashariki asubuhi najikuta naamkia kusini asa sijui ataweza[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji29]
Na hawasemi eti.Kumbe kuna kugandianaπ
π fanya ukuyeKumbe kuna kugandianaπ
Embu tupia pic nikuone mchizi wangu π€