Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Kwa hiyo unawezaku gandiana??Aisee sipendi kabisa tukimaliza kila mtu atake position yake ndio tunapata usingizi mzuri
Tatizo kiswahili ila sio kugandana[emoji1787][emoji1787] mf mkimaliza show unamlalia mtu kifuani then hata mkiamka asubuhi kila mtu upande wake ila kuna kale ka feeling yan[emoji3059]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Afu ukanidanganya eti we bado bikira...

Sasa haya ya wakubwa uliyajulia wapi?

Ushakuwa mzinzi?
 
Position nzuri kulala na mpenzi wako;
1. Akugeuzie taco
2. Umkumbatie kwa nyuma
3. Mguu wake wa juu ausogeze mbele kidogo..then wewe mguu wako wa juu uulaze juu ya mguu wake wa chini....
Hapo mmevaana utamu balaa..ukafanye hili zoezi utanishukuru[emoji23][emoji23]
Nimevuta picha umelala hivyo na J [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom