Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Kwa hiyo unawezaku gandiana??Aisee sipendi kabisa tukimaliza kila mtu atake position yake ndio tunapata usingizi mzuri
Tatizo kiswahili ila sio kugandana[emoji1787][emoji1787] mf mkimaliza show unamlalia mtu kifuani then hata mkiamka asubuhi kila mtu upande wake ila kuna kale ka feeling yan[emoji3059]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Afu ukanidanganya eti we bado bikira...

Sasa haya ya wakubwa uliyajulia wapi?

Ushakuwa mzinzi?
 
Nimevuta picha umelala hivyo na J [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…