Mnaozaa na wake za watu mnafikiria nini?

Tena mwanamke yuko vizuri kwenye kutunza uaminifu kuliko nyie
Hamna chochote sema mnajua kuficha siri,
wewe unafikiri mpaka wazee wetu kujipa moyo kwa kusema "kitanda hakizai haramu " mnafikiri walikuwa hawajui kama mnatoka nje ya ndoa ?

Sema tu wanaume haya makoromeo yana bebaga uvumilivu sana, ila kwa vijana wa siku hizi wakijua tu katafute chaka mapema.
 
Tabu za wanawake wenu sio shida zangu
 
Mmesema mpo vizuri, ila nimejaribu kukupa uhalisia so utachagua mwenyewe kukataa au kukubali.Ila wazee wetu wengi walikuwa na vifua na makoromeo kwa watoto wao wa kubambikiwa.
Huwa sijielezi sana mitizamo ya aina hii,,, nakujibu tena sio shida zangu we ulaumu wazee vijana au watoto hayanihusu
 
acha tu kaka,unavuruga future ya familia kwa upuuz wa 5mins na wakat huo huo akiachika kwa mumewe na wew unachanja mbuga...ajabu now days watu wanajisifia urijal kunyandua mke wa mtu...SO SAD!
Inawezekana jamaa anapiga 2 hours!
 
Write your reply...tamaa mbele mauti nyuma,walio wengi wameshindwa kuthibiti tamaa za miili yao ndo zinawaendesha.mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Mtoa Mada uneongea Point sana na Busara na Ukweli Mtupu!
Niwaulize Watu humu
kwa MUNGU hakuna wewe ni Mwanaune au Mwanamke au Dhambi hii ni ya Mwanaume au Mwanamke!
“Wanaume wengi wazini wanatomba sana nje,mbona hamuwasemi,
Yaani imekuwa kama kasumba kuwasema wanawake wanatoka Nje ya Ndoa,
je wanaume???
Yaani ni Kama kwa mwanaume kutembea Nje au Kijana wa kike akitembea na wanaume tuu anaitwa Malaya ila Mwanaume inakuwa ni sawa.
Wanawake wanaonewa sana hadi wanaingia Kaburini!
Ukiona mwanamke katembea nje ya Ndoa ujue Mume wake alishaanza huo mchezo kitambo sanaaa mwanamke alikuwa anavumilia mwisho nae akaamua Kupita na Mtu!
Over
 
Ubaya tendo la ndoa haliongopi, sooner or later itafahamika tu
 
Mwanaume anaweza kumsingizia mkewe mtoto?? Mwanaume anaweza kuleta damu mpya kwenye familia akasema ni ya mkewe??

Ukijibu hayo utajua huo usawa unaoutafuta haupo usaliti wa mwanamke mara zote unaleta shida kwenye familia kuliko mwanaume na sisemi ni sawa mwanaume kuchepuka. Ila mwanamke anapotoka nje ya ndoa huwa ni maafa mara nyingi.
 
Sio kanuni hiyo unataka kusema kila mchepukaji basi mwenza wake ni mchepukaji?
Wapo wanaume hawachepuki ila wake zao wanachepuka tena kila mara na wao wanavumilia tu.
Kulipa kisasi kwa uzinzi ni kujiua mwenyewe tu nothing more

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Stupid women will never leave this world R.i.p kwa huyo mtoto asiekuwa na hatia maana daa sio kwa hili janga anyway #kataa ndoa kataa mapenzi#


Sabuni ni 790 ni wewe tu ukitaka mtoto zalisha mtu umlee
🤮🤮🤮😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…