dadapesa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 366
- 659
Mmh hapa pia unaweza kuzaa kitu cha ajabu ukashangaaLabda ombi! Mwanamke anaweza kumpenda mtu mpaka akaomba "mbegu" ili apate mtoto wa kufanana. Utamnyima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh hapa pia unaweza kuzaa kitu cha ajabu ukashangaaLabda ombi! Mwanamke anaweza kumpenda mtu mpaka akaomba "mbegu" ili apate mtoto wa kufanana. Utamnyima?
Hamna chochote sema mnajua kuficha siri,Tena mwanamke yuko vizuri kwenye kutunza uaminifu kuliko nyie
Tabu za wanawake wenu sio shida zanguHamna chochote sema mnajua kuficha siri,
wewe unafikiri mpaka wazee wetu kujipa moyo kwa kusema "kitanda hakizai haramu " mnafikiri walikuwa hawajui kama mnatoka nje ya ndoa ?
Sema tu wanaume haya makoromeo yana bebaga uvumilivu sana, ila kwa vijana wa siku hizi wakijua tu katafute chaka mapema.
Mmesema mpo vizuri, ila nimejaribu kukupa uhalisia so utachagua mwenyewe kukataa au kukubali.Ila wazee wetu wengi walikuwa na vifua na makoromeo kwa watoto wao wa kubambikiwa.Tabu za wanawake wenu sio shida zangu
Huwa sijielezi sana mitizamo ya aina hii,,, nakujibu tena sio shida zangu we ulaumu wazee vijana au watoto hayanihusuMmesema mpo vizuri, ila nimejaribu kukupa uhalisia so utachagua mwenyewe kukataa au kukubali.Ila wazee wetu wengi walikuwa na vifua na makoromeo kwa watoto wao wa kubambikiwa.
Inawezekana jamaa anapiga 2 hours!acha tu kaka,unavuruga future ya familia kwa upuuz wa 5mins na wakat huo huo akiachika kwa mumewe na wew unachanja mbuga...ajabu now days watu wanajisifia urijal kunyandua mke wa mtu...SO SAD!
😄 noma sn hiiWako wanaoomba, tena wanakupigia na magoti kwa heshima zote...huku wanakusifia kuwa wewe ni handsome....sasa hapo utafanyaje?
Ubaya tendo la ndoa haliongopi, sooner or later itafahamika tuJana jamaa yangu yamemkuta hana amani ya moyoni, pana mke wa mtu mumewe wake anafanya Kazi mkoani anasema alikuwa anapitia, mke akanasa mimba mtoto kazaliwa mke wa mtu kamwambia jamaa huyu ni mtoto wako na wanafanana, mama yake mzazi na binti nae anajua mtoto sio wa mkwe wake bali ni mtoto wa nje baada ya kuambiwa na binti yake. Baba mzazi wa binti ajui ishu hii.
Jamaa kapigiwa simu jana na mke wa mtu kwamba mambo yamesharibika huku Mr ameshajua na alishawahi daka message yake na keshapigwa chini yaani kaachika akiwa kwenye hali ya uzazi. Jamaa yangu hana amani
1. Anasema hatia ya kuvunja ndoa takatifu ya mtu ataitubuje.
2. Mke wa mtu aliyeachwa kwa upumbavu wake anataka matumizi na yeye kipato kujigawa hawezi.Hofu uenda taarifa zikafika kwa mke wake zikifika nae ndoa uenda ikawa chali.
Jamaa hana amani hana furaha, hata Mimi nimejisikia vibaya sana.Na Mimi nawaza kuvunja nae urafiki kabisa.
Swali hadi mnazaa na wake za watu je hao malaya wanaoujiuza huwa hamuwaoni? Hadi mnaenda kutenganisha furaha za watu.
Kumbuka mke wa mtu aliyeachwa ana mtoto wa kwanza ambae nae anaenda kukosa upendo wa pamoja wa baba na mama.
Na nyinyi wanawake umepewa heshima ya ndoa kwann usikitulize nini kipya unachotafuta?
Acheni kubomoa familia za watu.
Maandiko yanasema " ndoa iheshimiwe na watu wote"
Midume mingine ya hovyo kabisa inaenda hadi kulala kwenye kitanda nyumbani Mwa mwanaume mwingine, walipasuliwa speaker ni haki yao kabisa.
uzuri MUNGU huwa afichi siri.
Dunia Ina mambo unaleta duniani watoto wasio na hatia. Majuto mjukuu, thus wamejaa makanisani. Dhambi hii ya kutenganisha kilichounganishwa haifutiki ni SAwa na kumwaga damu ya mtu.
Kwann udai wakati umelima kwenye shamba la mwenzio bila ruhusa,huo ni ubabe ambao unatakiwa kumalizwa kwa kukatwa kichwaSasa si ni Mbegu zao, sio tu waombe, inabidi wadai.
Mwanaume anaweza kumsingizia mkewe mtoto?? Mwanaume anaweza kuleta damu mpya kwenye familia akasema ni ya mkewe??Mtoa Mada uneongea Point sana na Busara na Ukweli Mtupu!
Niwaulize Watu humu
kwa MUNGU hakuna wewe ni Mwanaune au Mwanamke au Dhambi hii ni ya Mwanaume au Mwanamke!
“Wanaume wengi wazini wanatomba sana nje,mbona hamuwasemi,
Yaani imekuwa kama kasumba kuwasema wanawake wanatoka Nje ya Ndoa,
je wanaume???
Yaani ni Kama kwa mwanaume kutembea Nje au Kijana wa kike akitembea na wanaume tuu anaitwa Malaya ila Mwanaume inakuwa ni sawa.
Wanawake wanaonewa sana hadi wanaingia Kaburini!
Ukiona mwanamke katembea nje ya Ndoa ujue Mume wake alishaanza huo mchezo kitambo sanaaa mwanamke alikuwa anavumilia mwisho nae akaamua Kupita na Mtu!
Over
Sio kanuni hiyo unataka kusema kila mchepukaji basi mwenza wake ni mchepukaji?Mtoa Mada uneongea Point sana na Busara na Ukweli Mtupu!
Niwaulize Watu humu
kwa MUNGU hakuna wewe ni Mwanaune au Mwanamke au Dhambi hii ni ya Mwanaume au Mwanamke!
“Wanaume wengi wazini wanatomba sana nje,mbona hamuwasemi,
Yaani imekuwa kama kasumba kuwasema wanawake wanatoka Nje ya Ndoa,
je wanaume???
Yaani ni Kama kwa mwanaume kutembea Nje au Kijana wa kike akitembea na wanaume tuu anaitwa Malaya ila Mwanaume inakuwa ni sawa.
Wanawake wanaonewa sana hadi wanaingia Kaburini!
Ukiona mwanamke katembea nje ya Ndoa ujue Mume wake alishaanza huo mchezo kitambo sanaaa mwanamke alikuwa anavumilia mwisho nae akaamua Kupita na Mtu!
Over
Stupid women will never leave this world R.i.p kwa huyo mtoto asiekuwa na hatia maana daa sio kwa hili janga anyway #kataa ndoa kataa mapenzi#Jana jamaa yangu yamemkuta hana amani ya moyoni, pana mke wa mtu mumewe wake anafanya Kazi mkoani anasema alikuwa anapitia, mke akanasa mimba mtoto kazaliwa mke wa mtu kamwambia jamaa huyu ni mtoto wako na wanafanana, mama yake mzazi na binti nae anajua mtoto sio wa mkwe wake bali ni mtoto wa nje baada ya kuambiwa na binti yake. Baba mzazi wa binti ajui ishu hii.