Mnaozaa na wake za watu mnafikiria nini?

Sasa so ungemwambia huyo jamaa yako huko huko mkuu umeleta huku ili iweje
 
Pole sanaa mkuu, hilo nalo litapita utakua poa
 
Halafu mtu akiamua kumchinja mkewe mnamuona akili hana. Wanawake wengine wako so selfish to an extent all they deserve is a death wish.
Hakuna kosa katika hii dunia linaloweza mpea mtu kibali ya kutoa roho ya mtu. Hakuna kabisa. She cheated then let her go. Who are you to take the life and you are not the one who gives?.
 
Na sio kwamba wanajua kuficha siri sema ni kuwa wanaume huwa hatuna muda wa kufatilia fatilia umbea na maneno,ukiwa MTU wa kufatilia fatilia utajua tu maana hapa Duniani chochote utakachofanya utashirikisha watu na huwa hamna siri ya watu 2.
 
Hapo Jamaa lazima moyo uende mbio maana hajui Mwenyezi mke anapanga nini dhidi yake,lazima some kifo nipo mbele yake wakati wowote.Nyege mbaya sana.

Nyege,Njaa, Pesa & power>>>ndio chanzo cha matatizo yote Duniani.
 
Na mbaya zaidi huyo jamaa aliyezaa na Mke wa MTU amehatarisha mpaka maisha ya familia yake au ndugu zake-kuna watu sana visasi vibaya-wengine huwa wanakuja kuua familia nzima au kichoma nyumba na waliomo ndani.

Mwanaume kabla ya kufanya chochote,ni vizuri kutafakari Mara 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…