Mnaozaa na wake za watu mnafikiria nini?

Mnaozaa na wake za watu mnafikiria nini?

Sasa so ungemwambia huyo jamaa yako huko huko mkuu umeleta huku ili iweje
 
Jana jamaa yangu yamemkuta hana amani ya moyoni, pana mke wa mtu mumewe wake anafanya Kazi mkoani anasema alikuwa anapitia, mke akanasa mimba mtoto kazaliwa mke wa mtu kamwambia jamaa huyu ni mtoto wako na wanafanana, mama yake mzazi na binti nae anajua mtoto sio wa mkwe wake bali ni mtoto wa nje baada ya kuambiwa na binti yake. Baba mzazi wa binti ajui ishu hii.

Jamaa kapigiwa simu jana na mke wa mtu kwamba mambo yamesharibika huku Mr ameshajua na alishawahi daka message yake na keshapigwa chini yaani kaachika akiwa kwenye hali ya uzazi. Jamaa yangu hana amani

1. Anasema hatia ya kuvunja ndoa takatifu ya mtu ataitubuje.

2. Mke wa mtu aliyeachwa kwa upumbavu wake anataka matumizi na yeye kipato kujigawa hawezi.Hofu uenda taarifa zikafika kwa mke wake zikifika nae ndoa uenda ikawa chali.

Jamaa hana amani hana furaha, hata Mimi nimejisikia vibaya sana.Na Mimi nawaza kuvunja nae urafiki kabisa.

Swali hadi mnazaa na wake za watu je hao malaya wanaoujiuza huwa hamuwaoni? Hadi mnaenda kutenganisha furaha za watu.

Kumbuka mke wa mtu aliyeachwa ana mtoto wa kwanza ambae nae anaenda kukosa upendo wa pamoja wa baba na mama.

Na nyinyi wanawake umepewa heshima ya ndoa kwann usikitulize nini kipya unachotafuta?

Acheni kubomoa familia za watu.

Maandiko yanasema " ndoa iheshimiwe na watu wote"

Midume mingine ya hovyo kabisa inaenda hadi kulala kwenye kitanda nyumbani Mwa mwanaume mwingine, walipasuliwa speaker ni haki yao kabisa.
uzuri MUNGU huwa afichi siri.

Dunia Ina mambo unaleta duniani watoto wasio na hatia. Majuto mjukuu, thus wamejaa makanisani. Dhambi hii ya kutenganisha kilichounganishwa haifutiki ni SAwa na kumwaga damu ya mtu.
Pole sanaa mkuu, hilo nalo litapita utakua poa
 
Halafu mtu akiamua kumchinja mkewe mnamuona akili hana. Wanawake wengine wako so selfish to an extent all they deserve is a death wish.
Hakuna kosa katika hii dunia linaloweza mpea mtu kibali ya kutoa roho ya mtu. Hakuna kabisa. She cheated then let her go. Who are you to take the life and you are not the one who gives?.
 
Hamna chochote sema mnajua kuficha siri,
wewe unafikiri mpaka wazee wetu kujipa moyo kwa kusema "kitanda hakizai haramu " mnafikiri walikuwa hawajui kama mnatoka nje ya ndoa ?

Sema tu wanaume haya makoromeo yana bebaga uvumilivu sana, ila kwa vijana wa siku hizi wakijua tu katafute chaka mapema.
Na sio kwamba wanajua kuficha siri sema ni kuwa wanaume huwa hatuna muda wa kufatilia fatilia umbea na maneno,ukiwa MTU wa kufatilia fatilia utajua tu maana hapa Duniani chochote utakachofanya utashirikisha watu na huwa hamna siri ya watu 2.
 
Hapo Jamaa lazima moyo uende mbio maana hajui Mwenyezi mke anapanga nini dhidi yake,lazima some kifo nipo mbele yake wakati wowote.Nyege mbaya sana.

Nyege,Njaa, Pesa & power>>>ndio chanzo cha matatizo yote Duniani.
 
Na mbaya zaidi huyo jamaa aliyezaa na Mke wa MTU amehatarisha mpaka maisha ya familia yake au ndugu zake-kuna watu sana visasi vibaya-wengine huwa wanakuja kuua familia nzima au kichoma nyumba na waliomo ndani.

Mwanaume kabla ya kufanya chochote,ni vizuri kutafakari Mara 2.
 
Back
Top Bottom