Mnapata wapi nguvu za kumfananisha mchezaji anayekiwasha michezo ya nje na ndani na huyo anayeonekana kwa Mkapa tu?

Wewe boya kweli, unpeleka mkono kwenye mavi halafu unauliza nini hiki?

Mchezaji bora lazima aitwe timu ya taifa lake
Ngoma, Kanute, che melone, Ayoub, ina maana sio wachezaji bora kwavile hawajaitwa timu ya taifa? Unatumia nini kufikiria?
 
Tatizo yanga hawaelewi kitu kimoja huyo blich yuko form katka pick kama wachezaji wote wa yanga walivyo form lakin tukizungumzia level ya chama ana brain ya Mpira kuliko mchezaji yeyote NBC pL
Form kaipatia alipotoka na ndio maana kachaguliwa kuwa MVP wa Ivory coast
 
Jamaa yangu unaelezea kama umekunywa supu ya maharage subiri kuvimbiwa tu. Pakome kwa chama bado sana labda apewe misimu mingine mitatu....
Unazungumzia rekodi ama uchezaji??
Kwa rekodi ni kweli Chama ana rekodi nyingi kuliko Pacoume,ila tukipima performance Pacoume yuko juu.
Tusiende mbali chukulia mfano wa Roberto Lewandowski na Pierre Aubameyang.
 
Tatizo yanga hawaelewi kitu kimoja huyo blich yuko form katka pick kama wachezaji wote wa yanga walivyo form lakin tukizungumzia level ya chama ana brain ya Mpira kuliko mchezaji yeyote NBC pL
KWA HIYO PACOME HANA BRAIN YA MPIRA?!

WEWE UNAONGEA NINI
 
Unazungumzia rekodi ama uchezaji??
Kwa rekodi ni kweli Chama ana rekodi nyingi kuliko Pacoume,ila tukipima performance Pacoume yuko juu.
Tusiende mbali chukulia mfano wa Roberto Lewandowski na Pierre Aubameyang.
NAKAZIA
 
Ngoma, Kanute, che melone, Ayoub, ina maana sio wachezaji bora kwavile hawajaitwa timu ya taifa? Unatumia nini kufikiria?
Hahahaha hatumii akili huyo.
Hajui Belgium waliacha vifaa wakamuita Romelu Lukaku??
Asa Lukaku mchezaji?
 
Form kaipatia alipotoka na ndio maana kachaguliwa kuwa MVP wa Ivory coast
Huko alipotoka kakiwasha.
Embu mungemtizama Asec Mimosa hata msimu wa jana muone balaa lake.
Mtu anashupalia eti hakuitwa timu ya taifa,mbona Musonda nae aliitwa pia huko Zambia??
Ivory Coast kwa viwango vya FIFA ya 39 Zambia ya 98 kama sijakosea.
Nadhani watapima wenyewe kuwa Ivory coast kuna ushindani wa wachezaji kuliko hata Zambia.
Mathalan na Pape Osman Sakho ni mchezaji mzuri sijai ona ila hakuitwa timu ya taifa muda mrefu,nadhani watu wanafaham taifa alotoka lina ushindani wa wachezaji kuliko hata ifikiriwavyo.
Kaja kuitwa baadae sanaa,asa kipindi hajaitwa ndio alikuwa mbovu???
 
Ngoma, Kanute, che melone, Ayoub, ina maana sio wachezaji bora kwavile hawajaitwa timu ya taifa? Unatumia nini kufikiria?
Ni kweli siyo wachezaji bora in comparison kwa wachezaji wa mataifa yao. Ungekuwa na akili usingeuliza swali la kindezi kama hilo
 
Kwamba huko alipokuwa club bingwa Hakuwa nzuri ndio maana sio vizuri tupaongelee? Kwamba kubaya huko tukuache? Kwamba past ya pacome club bingwa si nzuri kwahiyo hicho kipande kisiwepo kwenye movie. Alikuwa hajajipata?
MASHABIKI wote wanaolazimisha kulingana kila kitu, kila mchezaji, kuokoteza kila kitakwimu uchwara ili kuleta ubishi uchwara ni mapunga zozo.

Yale yale ya Watu kumoonda Pele, siku timu ya Man City inacheza bonaza la mpira na timu ya watu wenye mtindio wa ubongo, kwamba angekuwa Pele, angehesabu magoli aliyofunga.
 
Pacome angekuwa mchezaji mzuri msingekuwa mnamsajili Chama kila mwaka. Anasajiliwa bleach fc anacheza Simba
 
Hata waliomsimsmisha chama january ni yanga
 
KWA HIYO MASHABIKI WA YANGA NDIYO WALIOSEMA CHAMA KAIHUJUMU SIMBA SC?!
 
JAMAA KAAMUA KUWA NETRAL MAANA ANAOGOPA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WATAMRUSHIA MAWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…