Mnapofanya Maendeleo msisahau kushirikisha ndugu zenu hata Kama mna ugomvi

Je yeye Mke wako, miradi yake wewe inaifahamu?
Hiyo ni yake. Akitaka niifahamu atanijulisha. Mimi niko very focused na mambo ya familia yangu.

Sijui hata makeup zake kwa majina. Yeye ni minor kwangu, kwa nini nimchunguze na kumfuatilia?

Kila siku natakiwa niwe Bora kuliko nilivyokuwa Jana. Daima nashindana na Jana yangu, ndio adui yangu mkubwa
 
Wanandoa wamekuwa wabinafsi sana siku hizi, kila mmoja anajifanyia maendeleo yake bila kumshirikisha mwenzake. Wake hujenga kwao kwa siri, waume hujenga nyumba kwa siri mke hajui wala ndugu hawajui
 
Wanandoa wamekuwa wabinafsi sana siku hizi, kila mmoja anajifanyia maendeleo yake bila kumshirikisha mwenzake. Wake hujenga kwao kwa siri, waume hujenga nyumba kwa siri mke hajui wala ndugu hawajui
 
We chukua tu hiyo nyumba maana kwa wabongo sisi unakuta hata hizo pesa alijengea ni za wizi kama vile rushwa au utapeli.

Ni sawa tu hizo mali wakatumia usiowajua ukifariki kuliko kufaidisha ndugu mkuda, mnoko na asiyependa maendeleo yako...

Wanandoa wamekuwa wabinafsi sana siku hizi, kila mmoja anajifanyia maendeleo yake bila kumshirikisha mwenzake. Wake hujenga kwao kwa siri, waume hujenga nyumba kwa siri mke hajui wala ndugu hawajui
Kabisa mkuu
 
Nina Jirani ( sasa ni marehemu) alikuwa na Mgogoro na mke wake, kuhusu Mgogoro wao hatukujua mpaka jirani alipofariki.

Sasa hii story ni mrefu ila Kwa unduly Jirani alijenga nyumba ya biashara ( guest house, na frame za maduka) maeneo ya Kigamboni bila mke wala watoto kufahamu, na alipojenga pembeni kilibaki kiwanja Kikubwa tu, na aliyejua Alikuwa ni rafiki yake mmoja tu.

Baada ya msiba, rafiki wa maehemu alijishauri sana kuhusu kumwambia mke juu ya Mali hii ambayo alikuwa na uhakika mjane hajui.

Anyway long story short Yule bwana aliuza kiwanja cha pembeni ila ila nyumba alikabidhi Kwa mjane.

Baada ya mjane kugusiwa kuwa marehemu alikuwa anamiliki vyote Yule bwana ( rafiki wa marehemu) aliruka na kudai Yeye na marehemu walimu ya pamoja.

Wadau tujitahidi hata kuacha wosia kama unahisi ndugu hawaaminiki
 
Kabisa kaka
 
Watu wana ishi!!
Yaani hardware tu za Mil.16 wakati hio M.16 huku uswazi ushajenga nyumba na kuhamia
 
Ndugu we
ndugu wengine wapuuzi sana bora ufe wasijue vipotelee tu uko
 
Hata namba ya gari yake hukuishika? Anyway, kama hutaki ndugu wajue basi nenda ofisi ya wanasheria uache will.
 
Nina kwangu mkuu na nisingependa penda iwe hivi. Nimejaribu kila njia kupata ndugu zake Bado nimegonga mwamba
Hata iwe vp haihalalishi kuitumia nyumba hiyo kwa vyovyote vile nenda serikalini kabidhi kisichokua chako huo ndio utaratibu. Bot kuna kitngo cha pesa chafu mfano umeokota bilioni na haikuwezekana kupata muhusika so I ahifadhiwa mfuko maalum lakin haimaanishi mtu ajitumbulie mtu yyte akipeleka tetesi kwenye mamlaka unaitwa mwizi au mvamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…