Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

Okay huo nimeupata naomba nipe link nyingine.

Ila pia nimegundua umefeli kwakuwa umeshindwa ku attack hoja ukaona bora kumu attack mleta hoja. Logical fallacy, ad hominem.
Kwa sababu mleta hoja ndio alileta hiyo hoja.
Wewe ndio ulianza kuniattack na kuniambia ninauliza maswali kama mtoto mdogo, mara uniambie ni suala la common sense badala ya kwenda straight kwenye hoja.
Ndio nikaaza kuona kumbe huwa unajionaga keki, ikabidi nikuambie ukweli kuhusu tabia yako.
Kwani ulishindwa kutoa hoja yako bila kuniattack
 
Samahani kiongozi. Nimekosea nisamehe.
 
Ila kuna mzigo wangu mwingine umekwama hapo tangu tarehe moja inasoma last mile exception

Nilienda ofisini kwao wakasema mzigo umepotea

Kwenye app ya Aliexpress inasema mzigo upo customs ya Tanzania

Nipeni muongozo kwa yoyote aliyewahi kupitia kitu kama hichi
 
Mmmh! Pole mkuu
 
Mi nilishaa kununua vutu Tz kuanzia Tv , saa , laptop , viatu ,losheni , cherehani , OBD II MACHINE naagiza kwa ali express na nina vipata kwa wakati na kuokoa pesa nyingi bongo michosho watu sio waaminifu kabisa
 
Kama Ni SpeedAf wanao ship wakiupata tuu wanakutaarifu kwa Email.
Mwanzo wa week niliagiza SSD naona ishaondoka kuja TZ. Naona wako Speed kama wanavyojiita.
Siku ya 12 Leo imepokea Parcel yangu Arusha. Nilichokipenda SpeedAf wako faster, na kama wakiendelea hivi tutakuwa tumepata mkombozi, Pia kwa arusha agent nimependa hawakupi mzigo bila ya kitambulisho na unaweza kufanyiwa delivery ulipo kama ukitaga. Ukikabidhiwa parcel unalipia 1000 Tuu hapo oficn kwao.
 

Attachments

  • SpeedAf.png
    28 KB · Views: 50
  • Cainao.png
    63.6 KB · Views: 56
  • Package1.png
    201.9 KB · Views: 53
  • SSD.png
    152 KB · Views: 52
Huo ni mzigo gani
 
Kiukweli sijaona tofauti sana kati ya Speedaf na Posta, maana nimeangiza mizigo 2; wa kwanza ulitumwa kupitia Speedaf na wa pili kupitia Singapore post.

Mzigo wa kwanza nilipigwa na Speedaf nisogee maeneo fulani mtu wa delivery akanipatia mzigo wangu.

Mzigo wa pili (kesho yake) Posta wakaniambia nikauchukue. Lakini naamini hii ni kwa Singapore post, maana mizigo yangu ya Singapore post huwa inafika ndani ya siku 7-15 kwa experience (kama si kifaa chenye battery).
 

Mkuu samahani nimeku PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…