Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

Sasa kwa sisi wa mikoani hatuna namna ya kuwafikia ofisi kwao hapo Dsm the only way ni wao waitume tulipo au wana watjmia mawakala wao ? Mfano mm mzigo wangu unaonekana tayar washau transport kuja Shy town
Njia rahisi ni kupata mawasiliano ya ofisi. yao ya dar. Halafu unamtuma mtu akakuchukulie mzigo wako pale na akutumie ulipo.
Items ambazo zilizotumwa kwa bei rahisi h tracking huwa inaishia dar main ofice .
 
Kama una namba zao pls naomba unisaidie
 
Munasemaga apa ndo unapata spedaf.. Tokea 2021 nianze mishe izi, apo kwa shiping method sijawai bumiana na ilo neno, ata na parsel nilizowai ship Aliexpress sjawai pokea yenye nembo au chata spedaf.. Je Muliowai munafanaye au shipping adress izo za tz uko kwenu mumesevi vipiView attachment 2699002
Screenshot_20230725-201732.jpg
 
Njia rahisi ni kupata mawasiliano ya ofisi. yao ya dar. Halafu unamtuma mtu akakuchukulie mzigo wako pale na akutumie ulipo.
Items ambazo zilizotumwa kwa bei rahisi h tracking huwa inaishia dar main ofice .
Wewe ni muongo na hujui unachoongea
 
Wewe ni muongo na hujui unachoongea
Dogo umezoea kuongopewa unadhani kila mtu ni wa kaliba yako!! Wewe kama ulilipishwa ni juu yako service zao hao jamaa hata wakikuletea nyumbani ni free delivery.
Simu ninayotumia ku type hapa nimeletewa na hao hao speedaf au (caniao)
 
Attachments

  • Screenshot_20230820-163411~2.png
    Screenshot_20230820-163411~2.png
    288.6 KB · Views: 28
Oi we ni mshamba
Mshamba mie au weye unayelipishwa wakati kitu ni bure ?
Kuwa na lugha za staha unapotaka kuelimika bro !!
Hawa jamaa niwajue mwezi wa pili mwaka huu napokea mizigo kibao na sijawahi kutoa hafa mia !! hata kama mzigo utaletwa nyumbani ninapoishi huwa ni free service.
 
Munasemaga apa ndo unapata spedaf.. Tokea 2021 nianze mishe izi, apo kwa shiping method sijawai bumiana na ilo neno, ata na parsel nilizowai ship Aliexpress sjawai pokea yenye nembo au chata spedaf.. Je Muliowai munafanaye au shipping adress izo za tz uko kwenu mumesevi vipiView attachment 2699002View attachment 2699003
Speedaf ni wakala mpya wa kupokelea mizigo kutoka china mainland .
Kama unakumbuka aliexpress walikuwa wanatumia sana singapore post na china post kutuma mizigo yao kulikuwa na delays na mizigo ilikuwa inafikia posta .
Sasa hawa wamechukua nafasi ya posta na wanatumia sana street adress ku deliver mizigo .mizigo pia haichelewi ndaninya wiki tu unaweza kuapata mzigo wako
 
Mkuu hawa speedaf Kwa Sisi wa mikoani wanamawakala?

Au ni Kwa Dar Tu?

Back
Top Bottom