Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mkuu kama huna pesa yakutosha kwann unaalika raia? Binafsi nikikualika kula na kunywa unacho jisikia!!!! Inawezekana wewe unachotumia mwenzio hatumii usilazimishe mtu apige balimi kisa wewe ndo mlipa bill[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ustaarabu hajuna.
Jitu likitoka malinyi likaja mjini kila kitu kuiga tu na waalimu wao ni wale wa saloon kuwa ukitoka na mtu mkomoe...kuna siku utaosha vyombo🤣🤣🤣

Mimi ukinialika mahali kama mfuko hauko sawa nakunywa maji yangu...chakula nakuambia no thank you.
Unapokula mwanaume hata kama umeitwa changia bill labda muungwana akatae kuwa anaimudu kulipa.
 
🤣 You seem to be properly raised. Dada zangu wa kipare huwa smart sana wakipiga shule vizuri na kuwa na exposure.

Hapo Meneja wangemalizana nae tu sihitaji jambazi kwenye maisha yangu mimi 🤣
 
Mimi nachoagiza huwa nina hela ya kukilipia mfukoni. In case hata ikitokea ndivyo sivyo naweza ku clear.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni wale watu ambao tunalewa wote kwenye shida pambana na hali yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila utani sio kweli nisije kosa ofa haapa
Hahahahahah ushayumba bob!
 
Nakuambia mapema sana kabla ya kuagiza chochote kwamba agiza chakula / kinywaji kwa gharama isiyozidi kiasi kadhaa, tena nakuambia nikiwa nakutazama usoni macho kwa macho na kwa msisitizo. Ikizidi ni juu yako kulipa.....hela ni rahisi sana kuitumia lakini ni kazi kweli kweli kuitafuta
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaaaa ulikutaja na shetan
 
Naonaga waturuki kwenye tamthilia kila mahali wanapoenda wanaagiza chai au kahawa na ikiwa chakula ni kidogo sana bite tu
Sisi tunataka kuku ,bia,chips ndio maana tunanenepeana hovyo
Kila watu na tamaduni zao mkuu, ila kila kitu kifanyike kwa kiasi, hakutakuwa na malalamiko. Sasa mmekutana just for dinner mwenzako anaagiza hennesy ya 90k si kuumizana huko jamani.
 
Kila watu na tamaduni zao mkuu, ila kila kitu kifanyike kwa kiasi, hakutakuwa na malalamiko. Sasa mmekutana just for dinner mwenzako anaagiza hennesy ya 90k si kuumizana huko jamani.
Boya wangu aliagiza 3 baba🤣🤣🤣
Na ni day one.
Unajua kuna falla anakujua kiundani yuko huru kwako kwa day one huko ni kuchemsha hata kama uko na mzungu
 
Uungwana huu.
Sema kuna wana mnafahamiana kiundani haisumbui.
Eeh sio ile miyeyusho ya kuagiza vitu ghali kwa misifa, unless otherwise ulipie vinywaji straight away.
 

Kaka kwaio nikiagiza mfano kikazidi 3000 utagoma kulipa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣 You seem to be properly raised. Dada zangu wa kipare huwa smart sana wakipiga shule vizuri na kuwa na exposure.

Hapo Meneja wangemalizana nae tu sihitaji jambazi kwenye maisha yangu mimi 🤣
Me sio mpare
Mbona hamtakiii
Mpare bi mkubwa
Me kabila la mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…