Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mtoto wa kiume mpambanaji ni muelewa hawezi kuagiza zaidi ya kile ulichoagiza kazidisha sana ataagiza sawa na mtoa ofa
Kaka unatukosea sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa kiume mpambanaji ni muelewa hawezi kuagiza zaidi ya kile ulichoagiza kazidisha sana ataagiza sawa na mtoa ofa
Nimeitika sasa, nipopoe tu!Me simdai
Alishindwa kuuelewa ule uzi wangu wa ankoliii
🤣🤣🤣🤣🤣
Huu mwaka mpya hebu tutue mizigo vifua vipumue...
Hawa pisi hawana adabu 🤣 huwa wanahisi kila mtu ni drug dealer mjini?Bro mimi mr. Slim kama avatar ilivyo a.k.a Kagame
Yani mtu umemtoa Lunch au Dinner muwe mnaangalia kwanza mwenyewe kaagiza nini.
Tena jinsia ya KE ndio kabisa huko siwezi kuwazungumiza tujumuishe wote.
Yani ni metoa jamaa tendwe tukapate supu anaona mimi naagiza makongoro ya ng'ombe yeye anaagiza mchemsho wa kuku tena kidali. Kwa nini usisubiri kusikia muhusika kwanza.
Kuna wengine umeagiza chakula cha kawaida yeye anaagiza kushinda wewe.
Tuheshimiane tutakwepana: Jana nampa mtu ofa chukua bia anaona nakunywa balimi yeye anataka windock tena anabugia kwa sifa.
Wee ndugu upande wa mama...Nimeitika sasa, nipopoe tu!
Ustaarabu hajuna.Angepelekwa kwa manager akadeki vyoo 🤣🤣🤣🤣 me nkitembea na muamala mnaniona nna kibri...aibu hizi nani anataka.
Wafundisheni watoto tabia ya kuwajibika na kutopenda kupewa pewa . Wafundisheni kutoa..kamwe haya mambo ya mtu kula laki3 na kulia shida kibao kwenye mtoko wa kwanza hamtayaona
🤣 You seem to be properly raised. Dada zangu wa kipare huwa smart sana wakipiga shule vizuri na kuwa na exposure.Angepelekwa kwa manager akadeki vyoo 🤣🤣🤣🤣 me nkitembea na muamala mnaniona nna kibri...aibu hizi nani anataka.
Wafundisheni watoto tabia ya kuwajibika na kutopenda kupewa pewa . Wafundisheni kutoa..kamwe haya mambo ya mtu kula laki3 na kulia shida kibao kwenye mtoko wa kwanza hamtayaona
Basi yaishe!!Wee ndugu upande wa mama...
Ila anko ako akinyea kiganja hukikaki kumbuka
Mimi nachoagiza huwa nina hela ya kukilipia mfukoni. In case hata ikitokea ndivyo sivyo naweza ku clear.Ustaarabu hajuna.
Jitu likitoka malinyi likaja mjini kila kitu kuiga tu.
Mimi ukinialika mahali kama mfuko hauko sawa nakunywa maji yangu...chakula nakuambia no thank you.
Unapokula mwanaume hata kama umeitwa changia bill landa muungwana akatae kuwa anamudu kulipa.
Hahahahahah ushayumba bob![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni wale watu ambao tunalewa wote kwenye shida pambana na hali yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila utani sio kweli nisije kosa ofa haapa
Uungwana huu.Mimi nachoagiza huwa nina hela ya kukilipia mfukoni. In case hata ikitokea ndivyo sivyo naweza ku clear.
Kila mara jf huwa nasisitiza wanaume tuchague wanawake wenye akili unafikiri huwa natania?.
Kuna pisi mkikutana tu na kujumuika chakula anaanza kukuita mume na kuanza kukudhibiti..imejini ni day 1.
Hiyo hiyo day one anakueleza shida zake zoote.
1. Mama mgonjwa
2. Kodi ya nyumba
3. Gas imeisha
4. Kesho kutwa birthday yangu nataka 1m.
Yaani nilichoka na huu ni uhalisia.
Lisaa limoja na nusu nilipewa bajeti ya 1.6m.
Sijamtingoza na sikuwa na mpango.
Dejane hebu niambie nilikutana na pepo au nini?
Note: kuomba sio dhambi bali timing ni muhimu.
Kila watu na tamaduni zao mkuu, ila kila kitu kifanyike kwa kiasi, hakutakuwa na malalamiko. Sasa mmekutana just for dinner mwenzako anaagiza hennesy ya 90k si kuumizana huko jamani.Naonaga waturuki kwenye tamthilia kila mahali wanapoenda wanaagiza chai au kahawa na ikiwa chakula ni kidogo sana bite tu
Sisi tunataka kuku ,bia,chips ndio maana tunanenepeana hovyo
Hahahahahah ushayumba bob!
Boya wangu aliagiza 3 baba🤣🤣🤣Kila watu na tamaduni zao mkuu, ila kila kitu kifanyike kwa kiasi, hakutakuwa na malalamiko. Sasa mmekutana just for dinner mwenzako anaagiza hennesy ya 90k si kuumizana huko jamani.
Eeh sio ile miyeyusho ya kuagiza vitu ghali kwa misifa, unless otherwise ulipie vinywaji straight away.Uungwana huu.
Sema kuna wana mnafahamiana kiundani haisumbui.
Nakuambia mapema sana kabla ya kuagiza chochote kwamba agiza chakula / kinywaji kwa gharama isiyozidi kiasi kadhaa, tena nakuambia nikiwa nakutazama usoni macho kwa macho na kwa msisitizo. Ikizidi ni juu yako kulipa.....hela ni rahisi sana kuitumia lakini ni kazi kweli kweli kuitafuta
Me sio mpare🤣 You seem to be properly raised. Dada zangu wa kipare huwa smart sana wakipiga shule vizuri na kuwa na exposure.
Hapo Meneja wangemalizana nae tu sihitaji jambazi kwenye maisha yangu mimi 🤣