Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital ya crazy for life.

Ndugu chizcom , alifanikiwa kutoroka jana na kuiba simu za ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo mvumilieni.

Naambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital
View attachment 2476220
Unakichaa mwenyewe
 
Ninachoshukuru nawe ndivyo ulivyo bro.
Je utatoka na kila mtu?
Hata dogs huwa hawafanyi hivyo
Huwezi toka na kila mtu, sio sawa kila unayemuona uwe unamtaka tu. Lazima tuwe na kiasi, tuwe na limits lakini ni vizuri kutengeneza marafiki wasiohusisha ngono ndani yake. Madhaifu yapo lakini ni ya kibinadamu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnao toanaga out ndo mnakutana na visanga hvyooo??

Poleeeeeeni sanaaaaaa.
 
Here we go

DJ walete mapsychologist

Anyway sitaongea sana mimi ujumbe wangu ulikuwa ni huo tu kwa Glenn hayo Mengine nimewaachia nyie mkuu
Well I think this ain’t kind of music you’ll love because it’s jazz and I feel so blessed when I hear the sound!

But Miss don’t feel guilty about ur dad’s face that blessing feel proud of it, Ukiacha kujiogofya mwenyewe utakua very comfortable probably you just hesitate to hang out with your gender kwakujistukia, Lkn sio mbaya unaitunza vyema kwa mme bora hapo baadae🤗
 
Back
Top Bottom