Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Jul 23, 2022 #101 Kama ujamaliza ujana usiingilie kwenye ndoa,ndoa inahitaji kifua, maturity uwezo wa kuhimili mapungufu ya mwenzio aliyepewa malezi tofauti nawe.
Kama ujamaliza ujana usiingilie kwenye ndoa,ndoa inahitaji kifua, maturity uwezo wa kuhimili mapungufu ya mwenzio aliyepewa malezi tofauti nawe.