comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Very stupid.Pale chadema Kuna cream ya DJ imebaki
MMM
MAYAI
TAITA
Hata Professor ni kwasababu ya afya tuu imezorota lakini yule nae yupo kundi hili.
Kabla ya mwaka kuisha hao nliowataja hapo wataonyesha rangi zao.
Nyie wapumbavu sisi ccm chini ya daktari Samia (PhD) tuna njia zaidi ya laki2 za kucheza na akili za manyumbu.
Kikwazo kwetu Ingekua kama Kuna wananchi wenye akili timamu na wenye umoja ambao sio waoga kama kunguru, lakini mnawategemea wanaharakati na chadema, tutawaburuza sana aiseee.
Naioa ccm ikitawala Tanzania ndani ya miaka 1000 ijayo
Nyie wapumbavu endeleeni kubishana kuhusu mambo ya simba na yanga na mambo ya kina zuchu na diamond ndio akili zenu zilipoishia.
Kuwaita wananchi manyumbu kwa sababu ya mitazamo yao ya kisiasa ni dharau kwa watu unaodai kuwa unawaongoza. Wananchi si mali ya chama chochote. Unapojivunia kuwa na mbinu laki mbili za kuchezea akili za wananchi, unaonyesha nini kuhusu imani yako kwa hoja na sera? Kutawala miaka 1,000 ni matamanio yako binafsi, si dhamana ya kisiasa. Mamlaka hutokana na ridhaa ya wananchi. Kutaja majina ya watu na kutabiri wataonyesha rangi zao si ushahidi; kama una taarifa, ziweke wazi. CHADEMA si watu wachache unaowataja, ni taasisi yenye wanachama, historia na misingi yake. Demokrasia si umiliki wa chama kimoja, bali ni ushindani wa hoja, sera na ridhaa ya wananchi. Tanzania si mali ya CCM wala CHADEMA. Wananchi si manyumbu wa kuchezewa akili; wao ndio wenye mamlaka ya kuamua nani awaongoze. Kelele na majigambo haviwezi kuchukua nafasi ya hoja na uwajibikaji.Pale chadema Kuna cream ya DJ imebaki
MMM
MAYAI
TAITA
Hata Professor ni kwasababu ya afya tuu imezorota lakini yule nae yupo kundi hili.
Kabla ya mwaka kuisha hao nliowataja hapo wataonyesha rangi zao.
Nyie wapumbavu sisi ccm chini ya daktari Samia (PhD) tuna njia zaidi ya laki2 za kucheza na akili za manyumbu.
Kikwazo kwetu Ingekua kama Kuna wananchi wenye akili timamu na wenye umoja ambao sio waoga kama kunguru, lakini mnawategemea wanaharakati na chadema, tutawaburuza sana aiseee.
Naioa ccm ikitawala Tanzania ndani ya miaka 1000 ijayo
Nyie wapumbavu endeleeni kubishana kuhusu mambo ya simba na yanga na mambo ya kina zuchu na diamond ndio akili zenu zilipoishia.
Pale chadema Kuna cream ya DJ imebaki

Unashabikia upumbavu tuuPale chadema Kuna cream ya DJ imebaki

Ndio Taita huyoAdd na mtu anaitwa GUSU