Mnashangaa nini leo kuona CCM kumevurugika? Mimi si niliandika uzi hapa JF kuelezea mpasuko CCM mkanipuuza?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.

Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.

Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.

Na bado!
 
ww si entertainer na charismatic fella? Leo imekuwaje uwe mtabibiri wa vifo vya watu?
 
Yetu macho!
 
Mwenyekiti wao alisema Chadema hakukaliki, kumbe ilikuwa kinyume chake.
 
Maona gani na unasema una unavyanzo vyako vya taarifa
 
Chama bila misukosuko ni chama mfu.
CCM ni chama mfu, chama ambacho utashi wa mwenyekiti ni sahihi na haupingwi na yoyote, hicho sio chama Bali genge la majizi. Kitendo Cha ccm kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti kimefubaza hamasa za siasa hapa nchini.

Huo msuguano wa kutaka madaraka baada ya kujua unaweza kukaa madarakani bila kura za wananchi, Bali ushawishi wa kifedha kwa vyombo vya Dola na chawa kadhaa. Hii chama kizee kinatakiwa kisambaratike tupate mabadiliko ya kweli. Hakuna uwezekano chama kizee kinachopora chaguzi za nchi kiendelee kuwa na umoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…