Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😀😁😅🤣😃😀😁😁😅🤣🤣😄😄😄Msomi toka SAUT,kasema
[emoji419]Hawaachiani glass mezani
Hatar sn !ww si entertainer na charismatic fella? Leo imekuwaje uwe mtabibiri wa vifo vya watu?
Imerudi tena hiyo ??!!Hawaachiani glass mezani
Mara nyingi ccm huwa inavurugika na kuonekana hadi nje pale mwenyekiti anapokuwa dhaifu. Hali kama hii ilijitokeza hata kipindi cha JK pale Lowasa alipojiudhuru.Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.
Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.
Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.
Na bado!
Wacha yote yatokee, maana ni katika migongano ndipo mambo hubadilika for the better or worse, LAKINI lile la March 17, kama si kwa mapenzi ya Mungu, liepukwe. Ni aheri aachie kuliko kujiweka katika hatari.Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.
Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.
Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.
Na bado!
Kwa wengi ni rahisi kuyaona matatizo ya wengine kuliko ya kwao.Mwenyekiti wao alisema Chadema hakukaliki, kumbe ilikuwa kinyume chake.
Nataka nione kama KARMA ipo kweli !Yetu macho!
Amen!!!!Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.
Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.
Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.
Na bado!
Hivi hujaona uchawi kwenye kikao chao , unataka mpasuko upi tena ?Acha uongo wewe CCM imepasuka wapi [emoji848] uko wapi Uzi leta huo Uzi by evidence siyo unaandika porojo porojo hapa. Hivi ujui CCM ni jitu kubwa lisilotabirika.
Vipi kuhusiana na supreme leader wetu. Toka tunazaliwa had leo yeye ndio mwenyekiti. Hio imekaaje?CCM ni chama mfu, chama ambacho utashi wa mwenyekiti ni sahihi na haupingwi na yoyote, hicho sio chama Bali genge la majizi. Kitendo Cha ccm kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti kimefubaza hamasa za siasa hapa nchini.
Huo msuguano wa kutaka madaraka baada ya kujua unaweza kukaa madarakani bila kura za wananchi, Bali ushawishi wa kifedha kwa vyombo vya Dola na chawa kadhaa. Hii chama kizee kinatakiwa kisambaratike tupate mabadiliko ya kweli. Hakuna uwezekano chama kizee kinachopora chaguzi za nchi kiendelee kuwa na umoja.
Ucha unafiki wewe ccm ni lidude kubwa sana indelea kushabikia chama cha maendeleo ya wachagaMkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.
Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.
Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.
Na bado!
Mzee Mangula ni shahidi katika hiliHawaachiani glass mezani
Umetoka jela ya Jamii Forum? Karibu Jenta. Wengi hawakuelewi ila soon watakusoma.Nakuamini sana mkuu.
Tafuta popote ninapounga mkono kiongozi kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi kwenye nafasi Moja ya kuchaguliwa. Hii ikiwemo ni pamoja na huyo supreme leader, ukipapata uje tuendelee na mjadala.Vipi kuhusiana na supreme leader wetu. Toka tunazaliwa had leo yeye ndio mwenyekiti. Hio imekaaje?
Kwani mimi ni Jenta?Umetoka jela ya Jamii Forum? Karibu Jenta. Wengi hawakuelewi ila soon watakusoma.