Pole. Wachagga, wanyakyusa, wahaya, waha ndo makabila yanayojitambua.Mzee Mangula ni shahidi katika hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole. Wachagga, wanyakyusa, wahaya, waha ndo makabila yanayojitambua.Mzee Mangula ni shahidi katika hili
Kabla hujaendelea hebu tudokeze namba mbili yupo wapi aiseh!!!maana tetesi uchwara zishaanza!!Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.
Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.
Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.
Na bado!
hahahaha haya mkuuUmewashindwa HAMAS sasa unataka kuhamia CCM sio. Hawa hata sisi Wapalestina wa kwa Matias tunakuunga Mkono Waziri Mkuu wa Israeli uwashughulikie. Huwa majuha ni wakoloni weusi. Wafyeke wote.
Pole ya nini sasa? Na makabila yanakujaje hapa? Are you dreaming?Pole. Wachagga, wanyakyusa, wahaya, waha ndo makabila yanayojitambua.
ccm ni very strong partyMkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.
Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.
Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.
Na bado!
Wizi wa kura ilikua ni gumzo, mpaka utafiti ulipokamilika 2020Mnasemaga hivi hivi ila 2025 anashinda kwa asilimia 95%
Tatizo unajisifu sana mkuuAsante Mkuu na kamwe usiache Kuniamini kwani nina Utajiri mkubwa wa Kimaono na Fikra na ukiona nasema Jambo basi kuwa nalo makini mno kwani kwa 95% huwa nakuwa sahihi na Critical Observations zangu zitokanazo na Fikra pana nilizojaaliwa nazo na Mwenyezi Mungu.
CHADEMA wamepata misukosuko mingi sana ikiwepo C19!Chama bila misukosuko ni chama mfu.
Ajiangalie kwani Kazungwa na Mafia.GENTAMYCINE upepo unauonaje 2025 tutaendelea nae au ya Mungu mengi!🤔
Na huyo Genta alikuwa Jela lini?Kwani mimi ni Jenta?
Mwamba unatutisha🤔Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.
Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.
Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.
Na bado!
Kuna sehemu yoyote ile nawe umepigwa marufuku Kujisifu? Huna Akili...!!Tatizo unajisifu sana mkuu
Ulishaona hata fisi akiacha mzoga wa mwenzie,bila kuutafuna na kuumezelea mbali,sasa iweje waachiane mnofu bora🤣Hawaachiani glass mezani
Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.
Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.
Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.
Na bado!
Kama kuna kitu Watanzania wanakitamani ni hili genge linalojiita Chama cha siasa kusambaratika.Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.
Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.
Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.
Na bado!
Kuna bundi mlanyama ndani ya CCM.Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.
Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.
Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.
Na bado!
haujawahi kuwa positive kwa jambo lolote la taifaCCM ni chama mfu, chama ambacho utashi wa mwenyekiti ni sahihi na haupingwi na yoyote, hicho sio chama Bali genge la majizi. Kitendo Cha ccm kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti kimefubaza hamasa za siasa hapa nchini.
Huo msuguano wa kutaka madaraka baada ya kujua unaweza kukaa madarakani bila kura za wananchi, Bali ushawishi wa kifedha kwa vyombo vya Dola na chawa kadhaa. Hii chama kizee kinatakiwa kisambaratike tupate mabadiliko ya kweli. Hakuna uwezekano chama kizee kinachopora chaguzi za nchi kiendelee kuwa na umoja.