Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajitutumua Bure, mioyo ya wanaccm wenzako ni vichaka, hujui wanayoyawaza.Acha uongo wewe CCM imepasuka wapi [emoji848] uko wapi Uzi leta huo Uzi by evidence siyo unaandika porojo porojo hapa. Hivi ujui CCM ni jitu kubwa lisilotabirika.
Tunaelekea Januari ya 2024, hayo makundi bado unayaona?Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.
Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.
Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.
Na bado!