Mnashangaa nini leo kuona CCM kumevurugika? Mimi si niliandika uzi hapa JF kuelezea mpasuko CCM mkanipuuza?

Hawaachiani glass mezani
[emoji419]
JamiiForums-1742626671.jpg
 
Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.

Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.

Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.

Na bado!
Mara nyingi ccm huwa inavurugika na kuonekana hadi nje pale mwenyekiti anapokuwa dhaifu. Hali kama hii ilijitokeza hata kipindi cha JK pale Lowasa alipojiudhuru.

Lakini pia kulikuwa na makundi ya Sita akiwa spika na Mwakyembe, vile vile kulikuwa na makundi ya kina Mark Mwandosya. Ikumbukwe hata CCJ iliundwa na wanaccm tena wakiwa ndani ya CCM na Nape akiwemo.

Kwahiyo hiyo misuguano huwa ipo na wao huwa wanafikia muafaka. Ikumbukwe kwenye suala la kula CCM huwa wanarudi pamoja. CCM ni kubwa ni kutofautiana hakukosekani.

Lakini hata hivyo vyama vidogo mnatofautiana sana. Juzi tuliona kikao cha Mbowe na Lissu wakipatanishwa. Tofauti ya vyama vingine na CCm ni kuwa CCM ndio injini ya nchi, hao wengine hawana madhara yoyote hata wakiuawa au wakiuwana.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.

Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.

Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.

Na bado!
Wacha yote yatokee, maana ni katika migongano ndipo mambo hubadilika for the better or worse, LAKINI lile la March 17, kama si kwa mapenzi ya Mungu, liepukwe. Ni aheri aachie kuliko kujiweka katika hatari.
 
Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.

Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.

Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.

Na bado!
Amen!!!!
 
CCM ni chama mfu, chama ambacho utashi wa mwenyekiti ni sahihi na haupingwi na yoyote, hicho sio chama Bali genge la majizi. Kitendo Cha ccm kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti kimefubaza hamasa za siasa hapa nchini.

Huo msuguano wa kutaka madaraka baada ya kujua unaweza kukaa madarakani bila kura za wananchi, Bali ushawishi wa kifedha kwa vyombo vya Dola na chawa kadhaa. Hii chama kizee kinatakiwa kisambaratike tupate mabadiliko ya kweli. Hakuna uwezekano chama kizee kinachopora chaguzi za nchi kiendelee kuwa na umoja.
Vipi kuhusiana na supreme leader wetu. Toka tunazaliwa had leo yeye ndio mwenyekiti. Hio imekaaje?
 
Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.

Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja.

Kwa Makundi Kinzani Makuu Saba (ndani ya Chama) hali si Shwari na nilitabiri na natabiri tena leo kuwa kuanzia Desemba 2023 hadi June 2025 tutazika mno wale tusiokuwa tukiwatarajia na hata Kinara wao nae hayuko Salama kivile na asipoangalia ya Machi 17, 2021 hayako mbali Kwake / Kumtokea.

Na bado!
Ucha unafiki wewe ccm ni lidude kubwa sana indelea kushabikia chama cha maendeleo ya wachaga
 
Vipi kuhusiana na supreme leader wetu. Toka tunazaliwa had leo yeye ndio mwenyekiti. Hio imekaaje?
Tafuta popote ninapounga mkono kiongozi kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi kwenye nafasi Moja ya kuchaguliwa. Hii ikiwemo ni pamoja na huyo supreme leader, ukipapata uje tuendelee na mjadala.
 
Back
Top Bottom