Mnashangaa nini leo kuona CCM kumevurugika? Mimi si niliandika uzi hapa JF kuelezea mpasuko CCM mkanipuuza?

Kabla hujaendelea hebu tudokeze namba mbili yupo wapi aiseh!!!maana tetesi uchwara zishaanza!!
 
ccm ni very strong party
 
Chama kama chama hakijavurugika ila wachumia tumbo ndio wanavurugana kupata fursa za kushibisha matumbo yao, ukiwasikiliza vizuri utagundua kuzidiana ndio tatizo lao.
 
Tatizo unajisifu sana mkuu
 
Mwamba unatutisha🤔
 

Sishangai kabisa...lolote linalojengwa kwa misingi ya uongo litaanguka. Ile ya 17 march haikuwa kawaida. Ilituliza. Ila Mungu wa kisasi atasambaratisha mipango ya hovyo iliyokuwa inafanyika
 
Kama kuna kitu Watanzania wanakitamani ni hili genge linalojiita Chama cha siasa kusambaratika.
 
Kuna bundi mlanyama ndani ya CCM.
Waache wamalizane ili nchi ipone
 
haujawahi kuwa positive kwa jambo lolote la taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…