Mnashangaa nini leo kuona CCM kumevurugika? Mimi si niliandika uzi hapa JF kuelezea mpasuko CCM mkanipuuza?

Mvua zote kubwa za kufulikisha lakini nchi bado iko gizani ?![emoji848][emoji848]

Mvua za elnino volumes kubwa lakini giza kila mahala?! [emoji24]

Inasikitisha mpaka basi!

Walotufikisha hapa ni kina nani?

Wa chama gani?
 
Acha uongo wewe CCM imepasuka wapi [emoji848] uko wapi Uzi leta huo Uzi by evidence siyo unaandika porojo porojo hapa. Hivi ujui CCM ni jitu kubwa lisilotabirika.
Unajitutumua Bure, mioyo ya wanaccm wenzako ni vichaka, hujui wanayoyawaza.
 
Hakuna mpasuko wowotee ule ,ccm ni moja na 2025 ni mama tu
 
Tunaelekea Januari ya 2024, hayo makundi bado unayaona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…