Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata.
Sasa nawapa taarifa siku na nyie kiongozi wenu akiitwa kupumzika milele msije mkawalaumu Chadema wakishangilia.
Wacha Leo tupitishwe kwenye huu moto, tutatoka imara zaidi ila msije mkatulaumu wakati wenu ukifika.