Mnashangilia kukamatwa kwa Mbowe, tutashangilia muda ukifika

Mnashangilia kukamatwa kwa Mbowe, tutashangilia muda ukifika

Hizi haki za kukusanyika na kuandamana zimeigeuza africa ya kusini jalala, wacha tu mtulinga utumike kwanza hadi korona itakapotuachia
Ni maisha kama haya yetu yasiyo na miongozo ya kusimamia uchumi wa wengi ndiyo chanzo cha hayo ya SA.
 
Hivi kufanya Kongamano ni Vituko? Au Jana UVCCM Dodoma walipokusanyika walikua wako mbinguni sio?
Lisu masikini anapaza sauti watu wanampuuza tu!
Screenshot_20210721-172136_Twitter.jpg
 
Acha upoyoyo, kama kufa ni kila mtu atakufa. Kwa hiyo nyie mkishangalia vifo ndo mnakua mmepata faida sana sio! Chadema kimekua hopeless sana, yaani maujinga ujinga kibao. Kifutwe kabisa, na tena huko kanda ya ziwa hatutaki hata kukisikia.
Hakuna wa kuifuta chadema alishindwa mwendazake wewe utaweza???
 
Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata.

Sasa nawapa taarifa siku na nyie kiongozi wenu akiitwa kupumzika milele msije mkawalaumu Chadema wakishangilia.

Wacha Leo tupitishwe kwenye huu moto, tutatoka imara zaidi ila msije mkatulaumu wakati wenu ukifika.

Kwahiyo unataka kusema Viongozi wa Chadema hawawezi kuitwa kupumzika Milele? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hizi haki za kukusanyika na kuandamana zimeigeuza africa ya kusini jalala, wacha tu mtulinga utumike kwanza hadi korona itakapotuachia
Wewe unaona hiyo ndiyo njia ya kuondoa "jalala"; kuna wengine wanaona hiyo ndiyo njia iliyonyooka kwenda jalalani.
 
Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata.

Sasa nawapa taarifa siku na nyie kiongozi wenu akiitwa kupumzika milele msije mkawalaumu Chadema wakishangilia.

Wacha Leo tupitishwe kwenye huu moto, tutatoka imara zaidi ila msije mkatulaumu wakati wenu ukifika.

1626878339534.png
 
sorry case ya south africa ni different case.
Hilo sesendego linaelewa basi!!!
UVCCM ni mzigo mkubwa na mzito sana kwa taifa hili. Moja ya taasisi ambazo zinatakiwa kufutwa kwa sasa ni hii. UVCCM ya miaka ya 1980 mpaka miaka ya 1990 ilikuwa ipo vizuri. Mnapambana kihoja mpaka mnakubaliana katika kutokukubaliana.
Namkumbuka best yangu J. Guninita.
 
Acha upoyoyo, kama kufa ni kila mtu atakufa. Kwa hiyo nyie mkishangalia vifo ndo mnakua mmepata faida sana sio! Chadema kimekua hopeless sana, yaani maujinga ujinga kibao. Kifutwe kabisa, na tena huko kanda ya ziwa hatutaki hata kukisikia.
Tafuta chanzo cha moto sio kukimbia kuzima moto
 
Watawakanata ili tu kuwatuliza, lakini nsheria haitawafunga!
Lait kama polis wangefanya timing kwenye ule moto wa kariakoo kama wanavyofanya kwenye mikutano ya CHADEMA, hakika hata mchomaji tu wangemkamata na ule moto wala usingefika popote!
Lakin ajabu wanatumia nguvu nyingi kwa vitu visivyo na msingi!
 
Back
Top Bottom