Mnashangilia kukamatwa kwa Mbowe, tutashangilia muda ukifika

Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata.

Sasa nawapa taarifa siku na nyie kiongozi wenu akiitwa kupumzika milele msije mkawalaumu Chadema wakishangilia.

Wacha Leo tupitishwe kwenye huu moto, tutatoka imara zaidi ila msije mkatulaumu wakati wenu ukifika.
Si mnao wembe... wanyoeni 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
Jukwaa Hili limekua kichaka cha matusi,,Yani watoa lugha chafu wote humu 😂
 
Mama hawezi kutawala amepata hiyo nafasi kwa mungu kumchukua shetani mwenzake,kajaza watu wake ikulu mpka head wa usalama ni mkwe wake...anachoweza ni kula urojo tu
Mkwe wa huyu au mwendazake
 
Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata.

Sasa nawapa taarifa siku na nyie kiongozi wenu akiitwa kupumzika milele msije mkawalaumu Chadema wakishangilia.

Wacha Leo tupitishwe kwenye huu moto, tutatoka imara zaidi ila msije mkatulaumu wakati wenu ukifika.
Uzi kinyesi huu
 
Acha upoyoyo, kama kufa ni kila mtu atakufa. Kwa hiyo nyie mkishangalia vifo ndo mnakua mmepata faida sana sio! Chadema kimekua hopeless sana, yaani maujinga ujinga kibao. Kifutwe kabisa, na tena huko kanda ya ziwa hatutaki hata kukisikia.
Kama Kanda ya ziwa mko vizuri mbona kamkutano kadooogo tu mnaleta mpaka magari ya deraya?
Mngekua na akili mngenunua magari ya Zima Moto tuokoe japo kidogo tulichokua nacho.
 
Acha upoyoyo, kama kufa ni kila mtu atakufa. Kwa hiyo nyie mkishangalia vifo ndo mnakua mmepata faida sana sio! Chadema kimekua hopeless sana, yaani maujinga ujinga kibao. Kifutwe kabisa, na tena huko kanda ya ziwa hatutaki hata kukisikia.
Hawa wote akili zao ni za akina Mdude, SACCOS hii inabidi ianze kuuza mboga badala ya kufanya siasa.
 
Kimekua cha hovyo kuliko wewe ulivyo wa hovyo
Acha upoyoyo, kama kufa ni kila mtu atakufa. Kwa hiyo nyie mkishangalia vifo ndo mnakua mmepata faida sana sio! Chadema kimekua hopeless sana, yaani maujinga ujinga kibao. Kifutwe kabisa, na tena huko kanda ya ziwa hatutaki hata kukisikia.
 
Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata.

Sasa nawapa taarifa siku na nyie kiongozi wenu akiitwa kupumzika milele msije mkawalaumu Chadema wakishangilia.

Wacha Leo tupitishwe kwenye huu moto, tutatoka imara zaidi ila msije mkatulaumu wakati wenu ukifika.

mbowe ashakuwa mrema, hana jipya
kajiweka mbali na wananchi
eti chanjo lazima

lini watanzania walihangaika nae?
 
Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata.

Sasa nawapa taarifa siku na nyie kiongozi wenu akiitwa kupumzika milele msije mkawalaumu Chadema wakishangilia.

Wacha Leo tupitishwe kwenye huu moto, tutatoka imara zaidi ila msije mkatulaumu wakati wenu ukifika.
Kwa lile pigo la March, hata CHADEMA yote tukipelekwa jela, tutaendelea kushangilia ushindi! Na usemalo lipo na linakuja, tutashangilia sana!
 
Back
Top Bottom