Mnashangilia kukamatwa kwa Mbowe, tutashangilia muda ukifika

Acha upoyoyo, kama kufa ni kila mtu atakufa. Kwa hiyo nyie mkishangalia vifo ndo mnakua mmepata faida sana sio! Chadema kimekua hopeless sana, yaani maujinga ujinga kibao. Kifutwe kabisa, na tena huko kanda ya ziwa hatutaki hata kukisikia.
PAKA akiondoka panya ubaki na furaha
 
Kwani hao UVCCM walikuwa wanaongelea maendeleo au walikuwa wanataka kukiuka amri halali zilizowekwa na viongozi?

Hata chadema wanayo nafasi ya kuhamasisha maendeleo kwa wananchi na bila kuvunja sheria watafanya mikutano hata usiku.

Lakini kama wanahamasisha kupambana na serikari hata mchana watazuiwa.
 
YOTE HAYA YANATOKEA KWA KUWA WATU WAMEOMBWA WAMPE MUDA NA HAWATAKI. MTU KAKAA MADARAKANI SIKU 120 TU MNAMFANYIA KILA AINA YA VITUKO.
 
Na je akifa kiongozi wenu kabla ya mnaowaombea wafe tutashangilia pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…