Mbilima yimo
JF-Expert Member
- Sep 14, 2020
- 286
- 348
Ni maisha kama haya yetu yasiyo na miongozo ya kusimamia uchumi wa wengi ndiyo chanzo cha hayo ya SA.Hizi haki za kukusanyika na kuandamana zimeigeuza africa ya kusini jalala, wacha tu mtulinga utumike kwanza hadi korona itakapotuachia
maandamano ukayaanzishie kwa wasukuma? watakuwa wamejichnganya, siaende arusha au tarimeIngieni barabarani nyie si mnajidai vinyozi bana
Lisu masikini anapaza sauti watu wanampuuza tu!Hivi kufanya Kongamano ni Vituko? Au Jana UVCCM Dodoma walipokusanyika walikua wako mbinguni sio?
Hakuna wa kuifuta chadema alishindwa mwendazake wewe utaweza???Acha upoyoyo, kama kufa ni kila mtu atakufa. Kwa hiyo nyie mkishangalia vifo ndo mnakua mmepata faida sana sio! Chadema kimekua hopeless sana, yaani maujinga ujinga kibao. Kifutwe kabisa, na tena huko kanda ya ziwa hatutaki hata kukisikia.
Mtashangilia nyie wakati na sisi tunasubiria zamu yetu ifike.Na je akifa kiongozi wenu kabla ya mnaowaombea wafe tutashangilia pia
Arudi aje aongoze maandamano, sio kuchochea yuko ulayaLisu masikini anapaza sauti watu wanampuuza tu! View attachment 1862371
Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata.
Sasa nawapa taarifa siku na nyie kiongozi wenu akiitwa kupumzika milele msije mkawalaumu Chadema wakishangilia.
Wacha Leo tupitishwe kwenye huu moto, tutatoka imara zaidi ila msije mkatulaumu wakati wenu ukifika.
Wewe unaona hiyo ndiyo njia ya kuondoa "jalala"; kuna wengine wanaona hiyo ndiyo njia iliyonyooka kwenda jalalani.Hizi haki za kukusanyika na kuandamana zimeigeuza africa ya kusini jalala, wacha tu mtulinga utumike kwanza hadi korona itakapotuachia
Ninaongea kama Mwananchi Mzalendo ninaetaka Katiba MpyaUnaongea wewe kama nani?
Katiba mpy ndio kitu ganiNinaongea kama Mwananchi Mzalendo ninaetaka Katiba Mpya
Kudai KATIBA MPYA ni vituko?!!!YOTE HAYA YANATOKEA KWA KUWA WATU WAMEOMBWA WAMPE MUDA NA HAWATAKI. MTU KAKAA MADARAKANI SIKU 120 TU MNAMFANYIA KILA AINA YA VITUKO.
subirini bi arafa atawapa[emoji38][emoji38][emoji38]Ninaongea kama Mwananchi Mzalendo ninaetaka Katiba Mpya
Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata.
Sasa nawapa taarifa siku na nyie kiongozi wenu akiitwa kupumzika milele msije mkawalaumu Chadema wakishangilia.
Wacha Leo tupitishwe kwenye huu moto, tutatoka imara zaidi ila msije mkatulaumu wakati wenu ukifika.
Wacha masihara kwenye mambo Muhimu kwa Taifasubirini bi arafa atawapa[emoji38][emoji38][emoji38]
Soma vizuriKwahiyo unataka kusema Viongozi wa Chadema hawawezi kuitwa kupumzika Milele? [emoji3][emoji3][emoji3]
sitanii.Wacha masihara kwenye mambo Muhimu kwa Taifa
Hilo sesendego linaelewa basi!!!sorry case ya south africa ni different case.
Tafuta chanzo cha moto sio kukimbia kuzima motoAcha upoyoyo, kama kufa ni kila mtu atakufa. Kwa hiyo nyie mkishangalia vifo ndo mnakua mmepata faida sana sio! Chadema kimekua hopeless sana, yaani maujinga ujinga kibao. Kifutwe kabisa, na tena huko kanda ya ziwa hatutaki hata kukisikia.
Kwa hiyo Raisi wetu umembatiza kuwa Bi arafa?sitanii.