Mnashangilia kukamatwa kwa Mbowe, tutashangilia muda ukifika

Mbowe & co will definetely have the last laugh!
 
Unadhani tuna Polisi ndugu!
 
Mbona mlishangilia sana wakati wa kifo cha Magufuli ukipande mawe utavuna mawe.
 

Kufa anakufa MTU yeyote.Anaweza kufa Mbowe.Kufariki Magufuri.Sasa viongozi wa serikali na ccm ndio pekee wanakufa.Huo ni ujinga mkubwa ,kusema CDM hawafi.
 
Kweli kabisa
Hakuna viumbe wasahaulifu duniani kama ccm.
Kuku Cha mtoto.
 
Mtashangilia nyie wakati na sisi tunasubiria zamu yetu ifike.
Ila sisi shangilio letu huwa linawauma Sana kwani watu huwa hawaruhusiwi hata kunywa vinywaji na kula nyama.
Watu walichinja na kula nyama utadhani siku ya kuchinja imefika,wakati Siku ya kuchinja Ni Leo.
 
Bora atwaliwe huyu dikteta
 
Bavicha bana kwani viongozi wa Chadema wao wana mkataba na Mungu wataishi milele.
 
kamata wahuni hao,wanatuharibia usalama wa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…