Uko tayari kuwapa ardhi ya babu yako wakirudi??HAO MWEUSI SI WARUDI MAKWAO KAMA WANABAGULIWA? HUKO SI WALIENDA KWAAJILI YA MISSION MUBASHARA YA UTUMWA?? KAZI ZAO TAYARI WAMEZIFANYA WARUDI SASA MAKWAO
Tukuulize ww netanyau wa bongoMkiambiwa Waafrika tuungane tulijenge Bara letu, kwani Wazungu huwa hawatupendi hatusikii na tunawapenda tu.
Mbona Obama mbona vice president mwanaume ambae ni joe biden na hakuitwa mbaguzi mkuu.Angechagua VP mwanamke.
Weka ushahidi kwamba Maraisi wote waliopita walichagua ma VP wenye asiili ya kilatino,unao huo ushahidi kwamba maraisi wote waliopita walifanya hivyo ?Angechagua VP mwenye asili ya Kilatino.
Utaratibu huu ulikuwepo kwa maraisi wote waliotangulia wa marekani ?Angechagua VP mmarekani mweusi.
mpaka sasa mkuu haujaweka hoja za msingi kuonesha ubaguzi ni upi bali naona kama wewe ni mtu unayejadili kwa kuongozwa na chuki.Ticket ya Uraisi wa Marekani inatakiwa itume ujumbe wa kuwaunganisha Wamarekani, na sio ujumbe kwamba Marekani ni nchi ya wanaume weupe wenye chuki na wabaguzi.
Kwani nchi za kiafrika sio shit hole countries mkuu? Ili tufanikiwe tusijaribu kuukwepa ukweli..ameshatoa matamko mengi ya kibaguzi dhidi ya watu weusi wa Marekani.
..hata nchi za Kiafrika aliziita " shit hole " countries.
..hata kwenye hayo mahojiano majibu yake yanaonyesha ni mtu asiye mstaarabu kwa wanawake, na watu weusi.
..wafuasi wake wengi ni Wamarekani weupe wenye misimamo ya kibaguzi dhidi ya watu weusi, na wahamiaji wa Marekani wasio weupe.
Huyo ni yule Trump mlieuziwa na CNN, wala sijawakatalii ila nawapeni pole. Maana waliouziwa Trump wa hivyo wengi sasa hivi wameshaamkaTrump ni zaidi ya mwendawazimu, kila akifungua mdomo wake kuzungumza anatapika upuuzi.
Kuna wenzako humu wanajiona wao na wazungu ni kitu kimoja, utasikia nyinyi wavaa kobazi mmegundua nini!?..yaani yeye mvaa skuna Kama trump
Huko walienda? Kufanya kazi ya utumwa?HAO MWEUSI SI WARUDI MAKWAO KAMA WANABAGULIWA? HUKO SI WALIENDA KWAAJILI YA MISSION MUBASHARA YA UTUMWA?? KAZI ZAO TAYARI WAMEZIFANYA WARUDI SASA MAKWAO
I call it how I see it. I don’t got versions.Kwa hiyo unashauri vipi? Tuanze kumponda na kukubali kumezeshwa mauingo bila kuyakataa ? Nikutakie Kila la kheri kwenye kumezeshwa
Hapa Trump aliongea fact kwenye interview
"Kamala Harris was always of Indian heritage, I didn’t know she was black until years ago when she happened to turn black."
– Trump
Mimi sio shabiki wa Trump lakini mainstream media ndo ina mportray vibaya kwa makusudi. Uchaguzi wa Marekani 2020 ulikuwa na kila dalili za kuibiwa na sidhani kama ni mara yao ya kwanza USA kufanya hivyo.
Statistically, Trump amekuwa rais bora kwa blacks kuliko huo ubaguzi alionao kama kweli anao.
Sfrica ni shit hole country ni kweli.Uzuri wa Trump hapepesi macho na si mnafiki
Amewapa ukweli
Ukisoma comments zao zinafurahisha badala ya kuudhi
Uongoo..Trump anapenda mambo ya upinde.
..ushahidi huu hapa akijibu kuhusu upinde.
View: https://m.youtube.com/watch?v=RPuoaw3UM3U&pp=ygUKVHJ1bXAgbGdidA%3D%3D
NINI KIMETOKEAMkiambiwa Waafrika tuungane tulijenge Bara letu, kwani Wazungu huwa hawatupendi hatusikii na tunawapenda tu.
Hapana Kamala ndio upinde..siko upande wa upinde.
..trump na kamala wote wako upande wa upinde.
Wakikubagua na wewe wabague. Kwanini unalilia kuthaminiwa na race nyingine?..Donald Trump ni tapeli, mwizi, na mbaguzi.
..huyu bwana amewapa sauti, na kuwainua Wamarekani weupe wabaguzi.
..Trump anataka kuirudisha Marekani ktk zama za ubaguzi za miaka ya 50 na 60.