Mnatizama lakini CNN Mahojiano ya moja kwa moja ya Mgombea Urais wa Marekani Trump na Waandishi wa Habari Weusi huko Chicago?

Mnatizama lakini CNN Mahojiano ya moja kwa moja ya Mgombea Urais wa Marekani Trump na Waandishi wa Habari Weusi huko Chicago?

Angechagua VP mwanamke.
Mbona Obama mbona vice president mwanaume ambae ni joe biden na hakuitwa mbaguzi mkuu.

Bush pia alikuwa na VP mwanaume mbona hakuitwa mbaguzi mkuu.
Angechagua VP mwenye asili ya Kilatino.
Weka ushahidi kwamba Maraisi wote waliopita walichagua ma VP wenye asiili ya kilatino,unao huo ushahidi kwamba maraisi wote waliopita walifanya hivyo ?

Wapi ama rejea gani inayosema kwamba usipochagua VP mlatino basi unakuwa mbaguzi?
Angechagua VP mmarekani mweusi.
Utaratibu huu ulikuwepo kwa maraisi wote waliotangulia wa marekani ?

Mbona bush VP wake alikuwa mzungu ?
Ticket ya Uraisi wa Marekani inatakiwa itume ujumbe wa kuwaunganisha Wamarekani, na sio ujumbe kwamba Marekani ni nchi ya wanaume weupe wenye chuki na wabaguzi.
mpaka sasa mkuu haujaweka hoja za msingi kuonesha ubaguzi ni upi bali naona kama wewe ni mtu unayejadili kwa kuongozwa na chuki.
 
..ameshatoa matamko mengi ya kibaguzi dhidi ya watu weusi wa Marekani.

..hata nchi za Kiafrika aliziita " shit hole " countries.

..hata kwenye hayo mahojiano majibu yake yanaonyesha ni mtu asiye mstaarabu kwa wanawake, na watu weusi.

..wafuasi wake wengi ni Wamarekani weupe wenye misimamo ya kibaguzi dhidi ya watu weusi, na wahamiaji wa Marekani wasio weupe.
Kwani nchi za kiafrika sio shit hole countries mkuu? Ili tufanikiwe tusijaribu kuukwepa ukweli
 
Uzuri wa Trump hapepesi macho na si mnafiki
Amewapa ukweli
Ukisoma comments zao zinafurahisha badala ya kuudhi
 
Trump ni zaidi ya mwendawazimu, kila akifungua mdomo wake kuzungumza anatapika upuuzi.
Huyo ni yule Trump mlieuziwa na CNN, wala sijawakatalii ila nawapeni pole. Maana waliouziwa Trump wa hivyo wengi sasa hivi wameshaamka
 
HAO MWEUSI SI WARUDI MAKWAO KAMA WANABAGULIWA? HUKO SI WALIENDA KWAAJILI YA MISSION MUBASHARA YA UTUMWA?? KAZI ZAO TAYARI WAMEZIFANYA WARUDI SASA MAKWAO
Huko walienda? Kufanya kazi ya utumwa?

Kapime akili. Maybe you don’t belong in such conversations.
 
Hapa Trump aliongea fact kwenye interview
"Kamala Harris was always of Indian heritage, I didn’t know she was black until years ago when she happened to turn black."
– Trump



Kamala

Mama; INDIAN
Baba: Jamaican

Mbona hesabu ni rahisi hapo
 
Mimi sio shabiki wa Trump lakini mainstream media ndo ina mportray vibaya kwa makusudi. Uchaguzi wa Marekani 2020 ulikuwa na kila dalili za kuibiwa na sidhani kama ni mara yao ya kwanza USA kufanya hivyo.

Statistically, Trump amekuwa rais bora kwa blacks kuliko huo ubaguzi alionao kama kweli anao.

Kwasababu Trump hachagui cha kuongea.

Ipo siku ataropoka "Baki na mavi yako nyumbani" hapo unadhani US ni Tanzania
 
Uzuri wa Trump hapepesi macho na si mnafiki
Amewapa ukweli
Ukisoma comments zao zinafurahisha badala ya kuudhi
Sfrica ni shit hole country ni kweli.

Mpaka leo eti raisi kampeni zake ni kuleta maji kwa watu nchi ina miaka zaidi ya 60 ya uhuru
 
Make America great again( MAGA),kama Kuna mbongo Yuko huko states hana karatasi arudi bongoland tuendelee kuwalipia tozo mabwenyenye waendelee kununua V8,ivi ndumbaro karudi kweli? Nilisikia kawasindikiza wanariadha 8 kwenye mashindano ya Olympics,kama waziri ndo Yuko hivyo kwanini usiitwe shithole? Tuacheni wamarekani wachague raisi wao maana sisi tumeshindwa kuchagua viongozi wa kutupeleka nchi ya ahadi
 
Trump kusema hafahamu Kamara Harris kama ni mswahili, mzungu au mhindi anesema kweli.

Tukumbuke waswahili mawingi, mkorogo wa krimu n.k saa nyingine huwezi kumtambua mtu ni mzungu, mswahili, mwarabu au ni nani.

Waswahili, wahindi, waarabu hubadili rangi za miili yao wawe weupe, kufanyiwa operesheni za pua zao ili zinyooke, kurekebishwa videvu n.k

Trump ameongea ukweli mbali ya kujua je huyu ni wa rangi gani au hata wa jinsia gani duniya ya sasa ni ngumu sana.


View: https://m.youtube.com/watch?v=BURiu_OvWdU
31 Jul2024
Former President Donald Trump questioned Vice President Kamala Harris’ race on Wednesday, asking whether she was Indian or Black.Trump’s statement came in response to a question about claims by his supporters that Harris was only selected as vice president because she was a Black woman.“Do you believe that Vice President Kamala Harris is only on the ticket Because she is a Black woman?” asked ABC News’ Rachel Scott during the National Association of Black Journalists conference in Chicago.Trump responded by falsely claiming that Harris had only recently described herself as Black.“She was always of Indian heritage and she was only promoting Indian heritage. I didn't know she was Black until a number of years ago when she happened to turn Black and now she wants to be known as Black,” Trump said.“So I don't know, is she Indian, or is she Black?”Scott pointed out that Harris has indeed identified as Black in the past and attended Howard University, a historically Black institution. She also joined Alpha Kappa Alpha, a Black sorority.Harris has also spoken about her South Asian roots by way of her mother, who was born in Chennai, India
 
..Donald Trump ni tapeli, mwizi, na mbaguzi.

..huyu bwana amewapa sauti, na kuwainua Wamarekani weupe wabaguzi.

..Trump anataka kuirudisha Marekani ktk zama za ubaguzi za miaka ya 50 na 60.
Wakikubagua na wewe wabague. Kwanini unalilia kuthaminiwa na race nyingine?
 
Back
Top Bottom