Mnatoa ujasiri wapi wakujirekodi wakati mpo kwenye tendo la ndoa

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Kuna watu siwaelewi kama wana akili timamu,ulimbukeni ama ujuaji.

Hivi unawezaje kujirekodi mkiwa katika tendo la ndoa na mwenzi wako?.

Mnawezaje kupigana picha za utupu na kutumiana?.

Nini faida yake?,na wengine utakuta ni wake za watu ama wa ume za watu wakifanya hivyo kupitia simu zao ,bila kujali kwamba anaweza mkewe ama mumewe akashika hiyo simu ama mtoto.

Akili zipo kweli?
 
Kwani ya Engonga ilikuwaje?
 
Weka clip
 
Ni vile tu Fani imeingiliwa ila huko nyuma kabla ya haya maujinga ya connection ilikua kawaida na moja ya kitu wapenzi wanakifanya kwa lengo la kuja kutaniana na kuelekezana tuvitu tuvitu.

Ila saivi imegeuka mwiba kuachana ni dk tu na video hizo hizo hutumika kama mwiba.

Lakini wakat wanajirecord wote huwa na Nia 1 na Lengo 1 ambalo ni Burudani.

Huo ujinga mwingine ni mmoja tu anakua hana akili timamu anafanya ungese wake.
 
Kwam

Burudani gani?,mbali na ile burudani yenyewe ambayo ni privacy?
 
🎶Baby naomba tujirekodi, (why) kumbukumbu (why) Siku nikikumisi, (Why) Naitazama tuuh! Naijuaa hiyoooo...🎶
 
Back
Top Bottom